Kwanini BANK za Tanzania zina Customer Service Mbovu

Mi napokwenda bank nikikutana na CC mwanaume mwenzangu at least huwa na breath a sigh of relief lakini si vile vinuka mkojo vilivyomaliza form six juzi na vi simu vyao vya mchina!
Du! Vinuka mkojo ndio nini!!
 
mkuu inauma sana kuona katika karne hii , wafanyakazi wa benki zetu za nyumbani wanafanya mambo ya mwaka 77 !!! ,customer service zero !!! , mfanyakazi anasahau kwamba mimi mteja ndo namlipa mshahara hili ni tatizo kubwa sana , lakini benki za nje kama standard chartered bank ,barclays wanajitahidi shughuli ipo nbc ,crdb ,nmb yaaaaani shida tupu akheri kufukia hela kwenye shimo
 
Sio bank tu kila mahali mimi nafikiri management culture ni mbovu. Watu wanapeana kazi sio kwa sababu ya uwezo wao ku-perform bali kuelewana na hakuna anayewajibika. Hao ma-epatriate lukuki kutoka India, Europe, marekani na uarabuni ni bogus kuna umuhimu wa kuona wizara ya kazi inaweka vetting ya hali ya juu kuona hawa failures hawaingii kwa njia za kinyemela bila kuwa na uwezo wa kutatua matatizo kule wanakokwenda kufanya kazi.
 
CRDB nadhani kwa sasa wamepata kiburi baada ya kuwa na wateja wengi mno...., ni masharobaro wa kufa mtu!
Jambo la kwanza linaloniboa sana mimi ni kitendo cha kuwa na vibanda 6 vya tellers, halafu unakuta cashiers wako wawili tu, vibanda vingine viko empty!...Natamani niingie kule ndani wanakozunguka zunguka na kuwakwida kuwapeleka kwenye vibanda vya cashier.
Hata cashier anayekuwa kibandani unakuta anajigeuzageuza tu, wala hajali fioleni iliyo mbele yake!
Kwakweli dawa ni kufunga account tu!

Wakuu hizo bank ni balaa, kama una issue ni bora ufunge akaunt uanze, ukisema ufuatilie utanyoosha mikono mwenywe.
 
Its not only about Banks. In general, Tanzania kuna very poor customer service. Mfano mahopitalini, restaurants etc etc. Then ethics ni kitu ambacho bongo hamna kabisa. Wahudumu hutoa siri za wateja. Utasikia mtaani watu wanazungumzia, eti fulani ana pesa nyingi sana benki au fulani kalazwa hospitali anaumwa (wanataja ugonjwa). Very sad
 
Du! Vinuka mkojo ndio nini!!

Wasichana wenye umri mdogo ambao hawajafahamu namna ya kusafisha sehemu zao baada ya kutoka haja ndogo!

Back to the topic:

Huduma mbovu kwa Tanzania ni kila sehemu, hata haya Makampuni ya "Kigeni" ni vile vile tu!

Kwanini?

1. Waajiriwa wengi wamepewa kazi kwa "favour" au "rushwa"!

2. Mishahara ni midogo kiasi kwamba waajiriwa wengi ni "mguu nje, mguu ndani"

3. Watawala wengi ni mbumbumbu
 
4. Kibaya zaidi, watanzania kama wateja, hawatambui haki zao. Na hata wakijua
hawazitumii.
 
crap! hawajui maana ya usemi " customer is a king" na hawawezi kutengeneza pesa bila wateja....si kwamba wanakosa knowledge au skills, no! they lack good attitude. its boring. mimi nikikumbana na huduma mbovu nakimbilia kwa meneja na kumwambia yote na nikishindwa nitatafuta hata simu yake au email.
what should they do???? managers
my views;
1. ensure all new staffs are equiped with customer service skills thru practical training before they are assigned in the front desks
2. periodical trainings (in-house) are very important
3. monitor the performance of these staffs
4. managers should seek feedback from customers as far as complaints as concerned
5. fire someone who is not serious as he/she will destroy the business
3.
 
Umewahi kukumbana na tabia hii; uko ktk foleni mbele ndo unalifikia dirisha, mtoa huduma wa benki anamwona rafiki yake ktk foleni nyuma yako, anachukua karatasi/kadi yako anaishika,kisha anamwita rafiki/mshikaji wake toka nyuma yako anamhudumia halafu ndo anarudi kwako, anakuuliza swali, ehe kaka unataka huduma gani vile? Bongo si mchezo.

Siku moja nilikuwa huko wilayani, nahitaji kumwona meneja wa benki saa tatu asubuhi,naambiwa kenda kunywa chai, nilisubiri hadi saa tano, jamaa ndo anarudi ofisini. Kukoroma sikuweza kwa sababu kule wilayani huna mbadala, hasa hizi wilaya zetu za pembeni mwa nchi.

Huduma ni mbovu hadi kulipia kodi nako taabu, mpaka uzungushwe.
 
yani ww umenifanya niingie apa!
na nimetoka bank muda si mrefu
nimejiuliza tena ili swali!!ivi izi pesa tunazovujia jasho ivi
afu bank ndo dharau/huduma za kihuni tu?kwann isitokee
kitu kama m-deci tu pesa ziwe zinazunguka tu,yan watumia waingia nk?!!

wanaboa kishenzy sana!!
tutaweka pesa vyunguni sasa
 
Nimesikitishwa sana na Huduma zinazotolewa na bank za hapa nchini, huduma zao ni mbovu zisizojali wateja na wafanyakazi wa bank wanadharau utafikiri huduma hiyo ni ya bure kumbe unalipia all transaction na isitoshe pia kuwa mishahara yao inatokana na wateja kuweka au chukuwa pesa. Isitoshe ukiingia bank utamuona mfanyakazi wa bank anachezea kasimu kake kana kwamba wameajiriwa kuchezea simu. Ukiomba kukutana na Meneja ili utoe malalamiko utazungushwa na kuulizwa maswali utafikiri umekamatwa na polisi kwa kosa la kuua. Kwa nyie Mameneja na vibaraka wenu mnaofanyakazi za bank kuweni wastaarabu kwa kuwasiliza wateja. Ninavyojua mimi kuwa Bank hairuhusiwi kuzungumza na simu wala kuchezea simu ikiwa na maana kuwa kama mtu amekuja kuchukuwa pesa halafu kama unawaambia vibaka nje kuwa mtu amevaa ngu rangi hiyo amechukuwa kiasi hicho, kutumia simu Bank ni uhalifu hasa kama mfanyakazi wa ndani. Kwa kweli sifurahiwi na huduma zenu.

Huduma za benki zetu ni mbovu sana
 
Nenda KCB wako kiKENYA KENYA!
KCB hawana tofauti, nishaenda pale downtown nyuma ya PPF tower kuangalia michongo yao ili nifungue akaunti nikakuta wateja wanayeyushwa eti hela zipo Mlimani City Branch tukitaka twende huko, watu wakawapaka wakaanza.
 
ndo maana wawekezaji wanaajiri watu toka nje, wabongo customer care zero kabsaa! nilienda deposit pesa nmb lile tawi pale karibu na bima(NIC) posta, kitu kilikuwa km m10 kwa vile nilikuwa nimezoea bnk binafsi sikuwaza kwamba ntaulizwa maswali, khaaaa!!! tailor akaniuliza eti hizi pesa umetoa wapi! nikapandwa na hasira sababu nilishasota karibu saa nzima kwenye foleni, nikamwuliza vipi mmeibiwa kiasi km hiki mnatafuta mwizi? akajichekesha eti sio hivyo benkii ukiweka pesa nyingi lazima uulizwe zimetoka wapi. nikamwambia wewe nikikuambia nimeokota kwa vile ni sababu utaridhika! akasema basi yaishe! wanakera mnoooooo jamani sijui tuingie na viboko mle!
 
Nugu zangu hii tabia kweli inakera sio mchezo.
Scenarios;
1. unakuta benki ina teller windows 5, lakini mbili tuu ndio ziko occupied
2. unakaribia dirisha, na jama/mdada anafunga dirisha eti kuna dharura
3. Foleni haisogei hata kidogo
4. Kule ndani vidada vinagichekesha 2...
5. kila dakika anacheki cmu yake chini ya dirisha
6. n.k
 
ndo maana wawekezaji wanaajiri watu toka nje, wabongo customer care zero kabsaa! nilienda deposit pesa nmb lile tawi pale karibu na bima(NIC) posta, kitu kilikuwa km m10 kwa vile nilikuwa nimezoea bnk binafsi sikuwaza kwamba ntaulizwa maswali, khaaaa!!! tailor akaniuliza eti hizi pesa umetoa wapi! nikapandwa na hasira sababu nilishasota karibu saa nzima kwenye foleni, nikamwuliza vipi mmeibiwa kiasi km hiki mnatafuta mwizi? akajichekesha eti sio hivyo benkii ukiweka pesa nyingi lazima uulizwe zimetoka wapi. nikamwambia wewe nikikuambia nimeokota kwa vile ni sababu utaridhika! akasema basi yaishe! wanakera mnoooooo jamani sijui tuingie na viboko mle!
HAHAHA...hapo kwenye bold...Kiherehere chao....
 
Kweli customer service kwenye mabenki mengi ni mbovu hasa lugha zinazotolewa na watoa huduma utafikiri amelazimishwa kufanya kazi kumbe kaiomba mwenyewe na wengine hata uchi wametoa kupewa hizo kazi
 
Kweli customer service kwenye mabenki mengi ni mbovu hasa lugha zinazotolewa na watoa huduma utafikiri amelazimishwa kufanya kazi kumbe kaiomba mwenyewe na wengine hata uchi wametoa kupewa hizo kazi

Try the "Rubberband Bank".......................
 
Nimesikitishwa sana na Huduma zinazotolewa na bank za hapa nchini, huduma zao ni mbovu zisizojali wateja na wafanyakazi wa bank wanadharau utafikiri huduma hiyo ni ya bure kumbe unalipia all transaction na isitoshe pia kuwa mishahara yao inatokana na wateja kuweka au chukuwa pesa. Isitoshe ukiingia bank utamuona mfanyakazi wa bank anachezea kasimu kake kana kwamba wameajiriwa kuchezea simu. Ukiomba kukutana na Meneja ili utoe malalamiko utazungushwa na kuulizwa maswali utafikiri umekamatwa na polisi kwa kosa la kuua. Kwa nyie Mameneja na vibaraka wenu mnaofanyakazi za bank kuweni wastaarabu kwa kuwasiliza wateja. Ninavyojua mimi kuwa Bank hairuhusiwi kuzungumza na simu wala kuchezea simu ikiwa na maana kuwa kama mtu amekuja kuchukuwa pesa halafu kama unawaambia vibaka nje kuwa mtu amevaa ngu rangi hiyo amechukuwa kiasi hicho, kutumia simu Bank ni uhalifu hasa kama mfanyakazi wa ndani. Kwa kweli sifurahiwi na huduma zenu.

... Lazima utakuwa na matatizo we MDADA au MKAKA, mimi naingia kwenye Bank karibu aina nne zote nimependezwa nazo CRDB matawi yote ya katika ya mji, Barclays bank, NMB na ICB sijawahi kuona muhudumu anadharau au kuchezea simu yake ya mkononi. ninachokiona mimi kwa watanzania walio wengi hatupendi kupanga foleni na kujifanya tunaharaka kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom