Kwanini BANK za Tanzania zina Customer Service Mbovu

Ni kweli hata mimi naunga mkono hakuna bank inyotoa huduma nzuri ya CC hapa kwetu na hasa CC kukiwa na akina Dada,mtu anatumia monitor kwa ajili yakujipodoa badala ya kuwahudumia wateja?yaani kuna mambo ya ajabu sana ktk hiz bank zetu.ndio maana kwa sasa watu wengi wamehamia katika hizi huduma za TIGO PESA,M-PESA nk zile ziko fasta hakuna folen wala urembo papo kwa papo labda mtandao usumbue.
 
mkuu unazungumzia benk zipi?usikuteunazungumzia benk ya ccm nmb
weka hela zako barcklays au stanbink
 
nadhani wafanyakazi wa benk wanaona wamefika sana mimi nilifunga account yangu crdb.yani mtu anakuongelesaha as if unamuomba hela
nikaenda tena benk ya posta kuna mdada anafanya kazi holiday inn anafanya usafi pale alikuwa anafungua account akapewa fomu ajaze akarudisha kuna space akaacha mana zimeandikwa kiingereza yani huyo muhudumu wa benk alimfokea sana eti umemwachia nani? nilishangaa sana mana sio watanzania wote wanajua ki english jamani. so kwa ujumla tz benk wote vimeo ndugu.
 
Back
Top Bottom