Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Nadhani umejibiwa hivi kutokana na kutoyavika nguo baadhi ya maneno..... Kuna my friend mmoja wakati wa ujana alikuwa na manzi wake na akaleta barazani kwamba manzi akiona mwanga tu mapenzi hamna, tukamwongeza akiwa ktk yao awashe taa kuona kinachofichwa.... Mayoooooooo kumbe manzi alikuwa ameshambuliwa na fungus + UTI na ilikuwa imefikia pabaya kiasi eneo lote limejaa kama usaha+damu. Back then jamaa alimsaidia na nadhani walikuja oana maana yule manzi alimpenda kuliko pendo la mwanamke kwa mwanamme unalolijua.... Hope kuna upande huu wa kuongela pia.
 
Baada ya kurupushana kibao uko nje mdada wa watu anaamua kuingia chumbani.haya sasa unaangaika weeeee masaa mawili! Sasa taa ya nini kwa nini taa isizimwe ili chochote kitakacho semwa asingiziwe shetan.
 
Mara nyingi mabinti washamba hususani wa vijijini ndo huwa wanapenda giza, mi nilikutana naye mmoja huko kijijini hata ufanyeje huwez kumgonga mchana
 
Back
Top Bottom