Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Nadhani umejibiwa hivi kutokana na kutoyavika nguo baadhi ya maneno..... Kuna my friend mmoja wakati wa ujana alikuwa na manzi wake na akaleta barazani kwamba manzi akiona mwanga tu mapenzi hamna, tukamwongeza akiwa ktk yao awashe taa kuona kinachofichwa.... Mayoooooooo kumbe manzi alikuwa ameshambuliwa na fungus + UTI na ilikuwa imefikia pabaya kiasi eneo lote limejaa kama usaha+damu. Back then jamaa alimsaidia na nadhani walikuja oana maana yule manzi alimpenda kuliko pendo la mwanamke kwa mwanamme unalolijua.... Hope kuna upande huu wa kuongela pia.
 
Wanawake wengi kiasi gani? Kwa mjibu wa takwimu kutoka wapi???
 
Baada ya kurupushana kibao uko nje mdada wa watu anaamua kuingia chumbani.haya sasa unaangaika weeeee masaa mawili! Sasa taa ya nini kwa nini taa isizimwe ili chochote kitakacho semwa asingiziwe shetan.
 
We unachukua sample ya huko kwenu unafikiri ni TZ nzima?
 
kwel wanawake wote wanapenda giza??hapo cthan km n kwel,cjui hao uliokutana nao mkuu
 
Ni warembo wakiwa wamevaa nguo ndugu wakisaula wenyewe hawajiamini
 
Uyo mwnamk anajifany au we nd unampiga mti wew vip ata mwanaum umetzka na iyo hali jogoo wew
 
Mara nyingi mabinti washamba hususani wa vijijini ndo huwa wanapenda giza, mi nilikutana naye mmoja huko kijijini hata ufanyeje huwez kumgonga mchana
 
Back
Top Bottom