Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 971
- 1,301
Ina mana TPA si mlifanya Oral January? Mbona kada za february wameshaita? Kwanini nyie bado au imekuaje mkuuNaona wameita kazini kada zingine TPA bado Na sisi bado tunasubiri hatukati tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app