wadada siku hizi wnakula kinoma, juzi nilidate na mdada m1 hivi maeneo ya sinza cha kushangaza alipofika tu aliagiza kilo moja unusu ya noah huwezi amini alifikiri na mimi ni mtumiaji aliipiga yote na ugali macho yalinitoka du wadada mmezidi kula
Yeah, inachangia pia. Ila nimeulizia watalaam wameniambia ni kutokana na kula vyakula vya mafuta kitalam lipids. oils and fats zinakuwa deposited kwenye lower abdominal hasa anapokuwa hafanyi regular exercises