Kwanini baadhi wadada/wanawake mna vitambi?


dr mzizi mkavu njo hapa udhibitishe, wanatunyanyapaa huku.
 

Nimekusoma Jestina usipaniki
 
Last edited by a moderator:
wadada siku hizi wnakula kinoma, juzi nilidate na mdada m1 hivi maeneo ya sinza cha kushangaza alipofika tu aliagiza kilo moja unusu ya noah huwezi amini alifikiri na mimi ni mtumiaji aliipiga yote na ugali macho yalinitoka du wadada mmezidi kula
 
Zamani hawakua na vitambi kwa sababu ya kazi nyingi walizo kua nazo lakini enzi hii wadada wengi wavivu kwani hawafanyi kazi nyingine zaidi ya kulala kazi anafanya house girl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…