Kwanini baada ya mapenzi huja chuki na visasi?

Watu mwanzo wanapendana na kuishi vizuri mfano mume na mke , boyfriend na girlfriend.

Lakini inafika kipindi inaibuka chuki na visasi kati yao baada ya sintofahamu fulani kutokea kati yao.

Watu ambao mwanzo walipendana wanageuka maadui.

Nini kipo nyuma ya jambo hili baada ya mapenzi huja chuki na visasi kwa wapendanao??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi wa Tz wengi hawapedi wanaopendana lazima wawafanyie dawa wachukiane.
 
Watu mwanzo wanapendana na kuishi vizuri mfano mume na mke, boyfriend na girlfriend.

Lakini inafika kipindi inaibuka chuki na visasi kati yao baada ya sintofahamu fulani kutokea kati yao.

Watu ambao mwanzo walipendana wanageuka maadui.

Nini kipo nyuma ya jambo hili baada ya mapenzi huja chuki na visasi kwa wapendanao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hiyo ipo sana. Mimi kuna Demu nilimpenda sana akaja akazingua, nakwambia huwa hanisalimii.
 
Sio wote wenye visasi na yategemea mliachanaje au kwenye mapenzi mlikaaje, bwana Malaya Malaya anakuonyeshea mademu zake live mkiachana utamshobokea kweli?
 
Kinyume cha upendo ni chuki ,upendo ukiisha kinachobaki kina ishi kati yenu, daima tunatakiwa kujifunza kuachana bila upendo kuisha itakuwa dawa sna .
Unamwachaje mtu bila upendo kuisha? kuachana ni matokeo ya kuisha kwa upendo ni kama gari linasimama baada ya kuisha mafuta

Kinachotakiwa hapa ni maisha baada ya kuachana na kuisha upendo inabidi yawe ya kistaarabu na kila mmoja kuheshimu maamuzi ya mwenzake
 
Upendo wa kwel kamwe hauwez kuisha ,ukiona upendo unaisha ujue huo ulikuwa ni feki, tofautisha kati ya kupenda na kutaman japo kuna uzi wembamba sana kati ya hivyo vitu viwili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom