Na hili ndilo tatizo kubwa sanaSurely, kuna ndugu yangu aliishi na mwanaume miaka kama kumi bila ndoa.Walikua na migogoro ya kawaida tu.Baada ya kufunga ndoa migogoro ikawa mikubwa zaidi ingawa hawajaachana.
Nimekataa wapi tena jamani?Af kwenye ile thread yako nyingine( ya kusifiwa) mbona umekataa kunielewesha.
Na hili ndilo tatizo kubwa sana
Nimekataa wapi tena jamani?
Marriage(ndoa) is the last stage of relationship ,what do you expect after reaching peak(rise)?sensibly fall ,binadamu we are damn so creative you see baada ya ndoa hamna kitu kinafuatia ,ila kwenye uchumba wanakua bado hawajafikia hatua ya mwisho
Hili ni wazo langu binafsi ,katibu mwenezi kutoka teamB
Ulikuwa umesinzia?
Kivipi hili linakuwa tatizo?
Simple like that?
Sikukuambia kuwa ni tatizo dogo au kubwa bali nimekuuliza ni kivipi hili ni tatizo?
Umeanza Kuwa Boring,
Ni Kipi Usichokielewa Hapo,
Sijui kama utakuwa umeliona tatizo lako
Mimi nilikuuliza ndoa inakuwaje tatizo kwa sababu uliyoitoa wewe badala ya kuja na kuniambia sababu unakuja na kuniambia "ndio ni tatizo kubwa sana" wakati mimi sikuuliza tatizo ni kubwa au sio kubwa maana siwezi kuuliza ukubwa watatizo wakati sijui hata ulichokisema kinakuwaje ni tatizo
Haya baada ya kuboronga hapo unakuja na attachment ambayo inazungumzia tatizo la watu kuingia kwenye ndoa huku wakiwa na imani fulani fulani kitu ambacho wala hata sio nilichokiuliza
Hiyo attachment yako ina sehemu tu ya ninachokizungumzia hapa lakini sio kwa ujumla wake
Hata nimesema kabisa kuwa tatizo la watu kuishi pamoja kwa muda mrefu halafu wakishaoana tu wanaachana ni nini wewe hata sijui kama umesoma maana sijaona hata mahali ambapo umejibu
Sijui nani ambae anaboa hapa ....!!
Wewe...Majibu Yako Kwenye Comments Za Wachangiaji Yanabore Sana,
You Just Don't Know Your Weakness.