Kwanini baada ya kumaliza Chuo mapenzi hufutika?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Kwanini baada ya kumaliza chuo, wale wenye couple mapenzi yao huisha muda mfupi baada ya chuo kuhitimu chuo?
 
Kila jambo na wakat wake na kila nabii na zama zake...
Kabla ya chuo kila mtu anakua na papuch/dushe lake huko kitaa lkn wakiingia vyuon wanawasahau waliowaacha kitaa na kuambatana na mpya ya chuo then baada ya zama za chuo kupita anapatkana nabii mwngne na yule wa chuo husahaulika na maisha yanaendelea
 
Daah! couple yangu ilikuwa maarufu, halafu ikaja kufa kifo cha mende
yaan hata watu huwa hawaamini mpaka leo.

saa nyingine mkitoka nje ya chuo maisha huwapeleka sehem mbali mbali nadhani, so ni ngumu kuendelea labda muwe mji mmoja na muwe mnaonana mara kwa mara
 
Hamna mapenzi ya dhati..ni mapenzi ya show-off tu na kusaidiana kwenye pepa na test tu..wakishagraduate kila mtu ashike lake..

NB; SIO WOTE LAKINI
 
Females hua wanakua desperate kuolewa wakat huo males ndo wanajipanga maisha na ikitokea ajira ikawa changamoto basi binti anamwona jamaa kama anampotezea muda so wengi huwaacha wanaume wao na ku move on na wenye maisha tayar.so hii ni moja ya sabab
 
Sio wote ..ungesema baadhi.
I married my college sweetheart ...kamaliza mbele yangu one year..nikamaliza next year..
Tukaendelea kudate for years huku tukiendelea kujipanga ..then tukaoana

Wow amazing,..
 
Kwasababu yamefikia tamati, kilicho na mwanzo hakikosi mwisho, hata hilo bando ulilounga litaisha soon:D:D:D.
 
Hongera sana. Mie huwa nashangaa sana wengine huelewana sana na unadhani hawa wataoana lakini wakimaliza tu na penzi linakufa.

Sio wote ..ungesema baadhi.
I married my college sweetheart ...kamaliza mbele yangu one year..nikamaliza next year..
Tukaendelea kudate for years huku tukiendelea kujipanga ..then tukaoana
 
Wanaume huwa wakati huo hawana ujanja wa kupata wanawake wanaowataka,wanataka msaada mpaka wamalize,wanawarubuni tu kwa muda ili wawe na pakutolea usaha,wakimaliza wanatafuta wanaowapenda
 
Sio wote ..ungesema baadhi.
I married my college sweetheart ...kamaliza mbele yangu one year..nikamaliza next year..
Tukaendelea kudate for years huku tukiendelea kujipanga ..then tukaoana
Wewe ulikuwa na msimamo haswa.
 
Females hua wanakua desperate kuolewa wakat huo males ndo wanajipanga maisha na ikitokea ajira ikawa changamoto basi binti anamwona jamaa kama anampotezea muda so wengi huwaacha wanaume wao na ku move on na wenye maisha tayar.so hii ni moja ya sabab
Hili ndio most correct answer. Yani kama kijana hana connection ya kutusua mapema lazma demu atanyakuliwa tu na mwamba aliye na mamlaka kwa wakati huo. Na mademu wasivyo na huruma wala hatakuwaza pamoja na ahadi zote mlizokuwa mnapeana.
 
Back
Top Bottom