Sawa mkuu, ingawa minafah kwamba wanawake wapo popote na wakati wowote. Lakini pia niliwahi sikia wazee wakisema kwamba, kupanga ni kuchagiwaMkuu shughuli zangu huwa namaliza usiku, na muda ninarudi kwangu nakutatananao njian
Mkuu kumgundua mwanamke mara ya kwanza ni kazi sana, ukimuona kwa siku ya kwanza unaweza kusema katoka kwenye shughuli zake kumbe hakuna lolote wadangaji tu, saiz ninaokutana nao usiku sitaki hata kuwasalimiaNatoa tu mfano...
Mwanamke ni mzuri sana na anavutia, hana kazi, anamiliki simu ya gharama, anapenda maisha flani matamu matamu....
Kama hao uluokutana nao ni tyoe niluzozitaja hapo, kwa nini asiwe mtu wa mizinga ..?
Mchana nashindwa mkuu nakosa sana confidenceTafuta mchana.....
Then live with the consequences...Mchana nashindwa mkuu nakosa sana confidence
usiku wanatoka wanyama wezi wezi kwenda kula kama fisi, popo nkWakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
sasa pori la fisi unawinda swala ?? jiangalie brooWakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
Sasa mwanamke wa maana anatembea usiku..? Ila kama hivyo ndege wafananao... /Popo hawezi gongana na mwenziwe ata kuwe na giza kiasi gani.
ukiwa dampo au kwenye dustbin usiogope nzi.Mara nyingi napenda kuwafata usiku mchana nakosa sana confidence
Mchana ekaeka nyingi wanawake wanakuwa bize sana na pilika pilika kwa hiyo kwa muda huo naambulia vibuti sana ndo maana nikaamua kuwafata usiku au jioni wanakuwa wametulia toka nimeanza kuwafata mchana sijawahi ambulia hata mmoja lakini usiku au jioni wengi tu ila ndo hivyo wanakuwa malaya sanani kwasababu usiku ni muda wa kuliamsha dude.
Mwanamke mtulivu atakuwa anarandaranda usiku anatafuta nini?
Hii ni special case, in fact hata mimi ninayeandika nimewahi kufanya kazi ya usikuNurse Ametoka ama anaenda Night shift Hospital
BTW. ..Hujawahi niangusha
Mwanamke yeyote anayejiheshimu giza likianza yupo kwake.Wanajiuza ndiyo utakutana nao bar barabaraniWakuu habari zenu, wakuu sijui ni