Kwanini Asilimia kubwa wanawake ninaowapata usiku ni malaya

Mkuu shughuli zangu huwa namaliza usiku, na muda ninarudi kwangu nakutatananao njian
Sawa mkuu, ingawa minafah kwamba wanawake wapo popote na wakati wowote. Lakini pia niliwahi sikia wazee wakisema kwamba, kupanga ni kuchagiwa
 
Natoa tu mfano...
Mwanamke ni mzuri sana na anavutia, hana kazi, anamiliki simu ya gharama, anapenda maisha flani matamu matamu....

Kama hao uluokutana nao ni tyoe niluzozitaja hapo, kwa nini asiwe mtu wa mizinga ..?
Mkuu kumgundua mwanamke mara ya kwanza ni kazi sana, ukimuona kwa siku ya kwanza unaweza kusema katoka kwenye shughuli zake kumbe hakuna lolote wadangaji tu, saiz ninaokutana nao usiku sitaki hata kuwasalimia
 
Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
usiku wanatoka wanyama wezi wezi kwenda kula kama fisi, popo nk
 
Kimsingi mwanamke mwenye maadili usiku kumkuta ngumu sana hasa kuanzia saa moja na nusu.
 
Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
sasa pori la fisi unawinda swala ?? jiangalie broo
 
A club is not the perfect place to find a lover so to the bar is where I go - Ed Sheeran.

Kwa Bongo a bar is where hoes are so at the church is where you should try your luck! (Utakutana na desparates though)
 
ni kwasababu usiku ni muda wa kuliamsha dude.
Mchana ekaeka nyingi wanawake wanakuwa bize sana na pilika pilika kwa hiyo kwa muda huo naambulia vibuti sana ndo maana nikaamua kuwafata usiku au jioni wanakuwa wametulia toka nimeanza kuwafata mchana sijawahi ambulia hata mmoja lakini usiku au jioni wengi tu ila ndo hivyo wanakuwa malaya sana
 
Mwanamke= malaya
Mwanaume= muhuni
Wote mmekutana uwanjani alafu unashangaa.
 
Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
Mwanamke yeyote anayejiheshimu giza likianza yupo kwake.Wanajiuza ndiyo utakutana nao bar barabarani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom