OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
hahaha A town ndo nature. Uku tunaishi kama tuko Cuba vile ..ngumu mwanzo mwisho
Ni kwanini wasanii wakubwa kama Joh Makini, Nick ii, Lord Eyes, Ibrah da Hustler, G Nako, WCB, Dogo Janja n. k wote wanatokea Arusha na wanaimba mziki unaofanana.
Kwanini Arusha isiwe na waimba taarab au r n b wengi kama hip-hop ambayo ndio kama lifestyle yao????
Kweliiihahaha A town ndo nature. Uku tunaishi kama tuko Cuba vile ..ngumu mwanzo mwisho
sasa kwanini mnang'ang'ania mziki husioleya pesa akati nyeny pesa mnaitafuta sana kwanini mdibadilikrArusha ukiwa hujui Karate na kurap we bonge la mshamba ...[emoji35] [emoji35]
Napenda wasivyotupanaArusha ni watu hovyo hovyo sana
unaweza ukafika mahali wao hawasikilizi nyimbo ya mtu yeyote wao wanasikiliza nyimbo zao na za marafiki zao tu
Na je wavulana wa Daslam na vipodozi vyao ndio waimba taarabu maarufu?Sasa kwani wao na meno yao ya dhahabu ndo wajanja? kisa wanajua kurap na karate?
we muarusha?Napenda wasivyotupana
Mkuu hiyo ni lugha gani umeandika?sasa kwanini mnang'ang'ania mziki husioleya pesa akati nyeny pesa mnaitafuta sana kwanini mdibadilikr
mkuu nilikuwa moto muda wa kazi tenaMkuu hiyo ni lugha gani umeandika?
Point yako ni ipi?Na je wavulana wa Daslam na vipodozi vyao ndio waimba taarabu maarufu?
Tengua kauli jombaa usipende ropoka bila factArusha ni watu hovyo hovyo sana
unaweza ukafika mahali wao hawasikilizi nyimbo ya mtu yeyote wao wanasikiliza nyimbo zao na za marafiki zao tu