Hizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...
Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke
Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike
Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi




