Ahaa hiyo list sasa,gurumo alihamia ubungo makubuli,hapo ukimtoa fella waliobaki siwezi kushangaa hata ungeniambia wanakaa tandali kwa bi nyau,chegge,mh temba na inspector walihama huko kitambo1) Juma Nature the legend himself
2) Mheshimiwa Said fella gulu kwenye masuala ya management ya mziki
3)Mbwana Samatta, Mohammed Samatta
4)Kingwendu msanii wa Vichekesho
5)Aisee kama mchekeshaji anayependa igiza kama yesu.
6)Mwina kaduguda aliwahi kuwa mwenyekiti wa Simba
7)Mhidin gulumo
