Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

Hii formula kaka inaleta matokeo katika nini na ushawahi kuyaona matokeo yake ?. Ukitupa mfano itakuwa poa sana.
E ni Energy SI Unit Joules
m ni Mass SI Unit Kilograms
c ni Speed of light 300,000,000metres per second.
Energy = mass times the square of speed of light

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E ni Energy SI Unit Joules
m ni Mass SI Unit Kilograms
c ni Speed of light 300,000,000metres per second.
Energy = mass times the square of speed of light

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii formula ya Einstein ya E = mc² ilimpa Einstein umaarufu kwa sababu ilihusisha speed of light na ukicalculate kama una mass ukazidisha na square of speed of light unapata Energy inayotakiwa. Hapo ndipo watu walipochanganyikiwa walijiuliza alifanya maarifa gani mpaka akagundua ukisquare speed of light ukazidisha na mass unapata Energy hivyo Einstein akapata umaarufu na alionekana Creative Genius wa kipekee.

Heading was supposed to be Albert Einstein the Top Terrorist(Mgaidi bingwa duniani) the world had and will never have.
yeye alijenga bomb ilitumika kupasua Hiroshima and Nagasaki. Bomb hio iliathiri na bado enaendelea kuathiri kila kizazi cha Japan Tangu wakati huo hadi wa leo.
Hafai kuitwa mwana science, bali alikua mjambazi sugu.
 
Principle of General Relativity.
 
Galilee Galileo
Isaac Newton
Leonardo da Vinci
Albert Einstein
Nicola Tesla

Hawa ndo watu nawaheshimu mno

Nicholaus Copernicus alikuwa Priest, Mathematician, Astronomer and a Doctor.
Jamaa ndiye aliyeleta Cosmic Model tuliyonayo ya Heliocentric kutoka kwa Model ya Aristotle ya Geocentric. Ilikuwa kazi sana kwake kwasababu kupindua mawazo ya mtu mzito kama Aristotle ilikuwa zaidi ya kupanda mlima.. Pia, alikuwa priest, Model yake ilikuwa inakinzana na baadhi ya maandiko.. so, ili asionekane heretic kwa kanisa lake ilimlazimu kurelease mawazo yake anonymously..

Nampa sana heshima huyu mtu. Galileo, Johannes Kepler na Newton wote waliendeleza pale alipoishia huyu mtu.

Namhusudu sana huyu Mpolish.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…