Kwanini akina Mama watoto wao wa Kike wakivunja tu Ungo hukwepa jukumu la kuwafunza na kuwasukumia mzigo shangazi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Japo siyo wote ila wengi wao hupenda sana kuwaachia hasa hasa Mashangazi au Mabibi kazi ya kuwapa Elimu ya ukujuaji Watoto wao wa Kike.
 
Kwa mila zetu waafrika ni aibu kwa mama kukaa na mwanaye kumwelezea kuhusu mabadiliko ya ukuaji wa mwili na maumbile yake badala yake kazi hiyo huifanya shangazi au bibi
 
Duh! Sijawahilisikia hili kwa zama hizi.

Ila labda wanataka epuka lawama madogo wakitoa boko!
 
Back
Top Bottom