emmadizzo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,503 Reaction score 1,683 Aug 19, 2020 #21 Apo ni uzalendo tu kwa viongozi wetu afrika kama nchi zote viongozi watakuwa namsimamo kama JPM itasaidia sana Teenager said: Unadhani suruhisho ni nini mkuu? Click to expand...
Apo ni uzalendo tu kwa viongozi wetu afrika kama nchi zote viongozi watakuwa namsimamo kama JPM itasaidia sana Teenager said: Unadhani suruhisho ni nini mkuu? Click to expand...
Mkaa wa mawe JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 5,055 Reaction score 7,494 Aug 29, 2020 Thread starter #22 Washawasha said: Bila shaka mabeberv Nalog off G Click to expand... Unamaanisha wazungu? Kivipi sasa mkuu?
Washawasha said: Bila shaka mabeberv Nalog off G Click to expand... Unamaanisha wazungu? Kivipi sasa mkuu?
Mkaa wa mawe JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 5,055 Reaction score 7,494 Sep 23, 2020 Thread starter #23 emmadizzo said: Apo ni uzalendo tu kwa viongozi wetu afrika kama nchi zote viongozi watakuwa namsimamo kama JPM itasaidia sana Click to expand... Unamaanisha nini kusema uzalendo? Na how uzalendo utaleta maendeleo?
emmadizzo said: Apo ni uzalendo tu kwa viongozi wetu afrika kama nchi zote viongozi watakuwa namsimamo kama JPM itasaidia sana Click to expand... Unamaanisha nini kusema uzalendo? Na how uzalendo utaleta maendeleo?
Mkaa wa mawe JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 5,055 Reaction score 7,494 Sep 23, 2020 Thread starter #24 Yeyote mwenye mawazo tofauti na mimi? Maana wote kama mnakubaliana na nilichoandika 100% ni sahihi. Leteni mawazo yenu wana JF.
Yeyote mwenye mawazo tofauti na mimi? Maana wote kama mnakubaliana na nilichoandika 100% ni sahihi. Leteni mawazo yenu wana JF.
Mkaa wa mawe JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 5,055 Reaction score 7,494 Nov 23, 2020 Thread starter #25 .
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 33,299 Reaction score 50,165 Nov 23, 2020 #26 Kwa kweli Wakoloni wafanye mpango wa kurudi Africa. Hatuwezi kujiongoza, hatuwezi kujitawala, hatuwezi kuchaguana, tunauana, tunatafuna mali za umma na misaada, hatuwezi lolote. Hatuwezi.
Kwa kweli Wakoloni wafanye mpango wa kurudi Africa. Hatuwezi kujiongoza, hatuwezi kujitawala, hatuwezi kuchaguana, tunauana, tunatafuna mali za umma na misaada, hatuwezi lolote. Hatuwezi.