HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Pengine zile Saccos zilizokuwa zinachota hela za NSSF zina uhusiano na ACT? Ulishamsikia Zitto wakati akiwa mwenyekiti wa PAC anasema chochote kuhusu au hata makontena yalivyokuwa yanapotea bandarini licha ya kwamba mashirika hayo yalikuwa chini ya Kamati yake?