Kwanini ACT wanapambana kutetea NSSF?

Kwanini ACT wanapambana kutetea NSSF?

chuuma

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
363
Reaction score
557
Kwa siku mbili mfululizo wanaharakati wa ACT wanapambana vikali kujibu mapigo dhidi ya hoja zinazosambaa kwa kasi kuhusu ufisadi wa NSSF. kinachoshangaza, pamoja na magazeti kuandika na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF kutamka wazi mbele ya kamati ya PAC kuwa mradi wa kununua viwanja Kigambon ulingiwa kifisadi, bado ACT wamendelea kupambana kupinga kuwa hakuna ufisadi wowote.

Je sababu ni nini? ACT ina maslahi gani NSSF? au kwasababu Kiongozi mkuu alikuwa Mwenyekiti wa PAC wakati dili hizi zinapigwa? . nawaza tu maana ACT inapambana kwenye NSSF kiliko hata CCM na serikali yake
 
hivi kwa nini makanisa na maaskofu wako kimya tu tofauti na kipindi cha jk? hakuna ajira, hakuna mikopo kwa wanafunzi, uchumi umenyauka, deni la taifa limepaa, demokrasia imeminywa,katiba mpya imesimama lakini wako kimya kabisa as if hakuna tatizo na tatizo ilikuwa ni jk kama jk
 
Haaa haaa kuna vihabari eti kuna chama kimoja cha upinzani kilianzishwa na fedha za NSSF chama hicho hakimo katika ushirika wa UKAWA.
 
Wale wanatumia akili siyo nyie wa kufyatuka tu. Wanachambua mambo sana na wameahagundua kuwa magufuli ni lulu haijawi tokea rais kama Huyu yangu tupate Uhuru. Rais ambaye hajipendi yeye mwenyewe amejitoa kafara kwa akili ya watu. Ndani asiyejua kwamba rais akienda nje ndo furaha kwake mana anapiga perdiem ndfu sana lakini yeye zote hizi hataki Bali kuwatumikia watu. Kikwete amepiga perdiem ngapi kila siku kusafili na analazimisha safari zingine ili tu apige hela. Tulishuhudia pinda akisema ukiwagusa mafisadi na mtandao wao nchi itayumba lakini yeye kawatumbua na haogopi kuyumba kwa nchi hapo kiasi pesa za ufisadi zimeisha mtaani na ndo mananasema maisha magumu. Kipindi cha jk ajira zilikuwepo has a ualimu lakini angali deni LA taifa lilivyopaa mpaka nchi kidogo iuzwe kabisa.
 
Hakuna mwanadamu anayejitoa kafara kwaajili ya binadamu mwenzake,labda kama unamzungumzia Bwana Yesu Kristo kwa mujibu ya mafundisho kutoka Biblia takatifu.Kusema kwamba Magufuli kajitoa kafara hiyo ni kufuru tena nakumba siku nyingine ukipenda kumsifia mwanadamu mwenzako chagua meneno sahihi si kufyatuka fyatuka.

Kujitoa kafara tungeona wanafunzi wote elimu ya juu wakipata mkopo.
Kujitoa kafara tungeona ajira kwa vijana zikimiminika kama bomba la maji
Kujitoa kafara tusingekosa madawa hospital za umma.
Kujitoa kafara wezi wote wa NSSF wangekuwa Segerea utashangaa wengine mabalozi
Kujitoa kafara wahusika wa Ligumi wangekuwa wakihangaika na kesi yao Kisutu.
......

kumbe DAUuu alikuwa anampa jeuri
 
Hoja yako hapa ni nini?

Kwa hiyo kama Yesu pekee alijitoa muhanga ina maana wakati wake wa kujitoa muhanga, watenda dhambi wote waliacha kutenda dhambi?

Ina maana wakati wake wa kujitoa muhanga, masikini wa roho wote walitajirika au wenye magonjwa waliponywa?

Ina maana wakati wake wa kujitoa muhanga, mateso/thulma zote zilikwisha?

...
...
...
Nani alikuambia kujitoa muhanga ni kumaliza matatizo na changamoto zote?

Unajenga hoja bila hata kuelewa mantiki ya kujitoa muhanga.
 
  • Thanks
Reactions: NHS
Watu kama nyie ndiomesababisha baadhi ya watu mashughuli kujiondoa humu kwa kuidhalilisha jf,yaani umeshiba zako mihogo unakuja kuandika upuuzi usio na evidence humu,mods na nyie mnalala sana vi uzi vya kipuuzi kama hivi ni kuvitupilia mbali
 
Hoja yako hapa ni nini?

Kwa hiyo kama Yesu pekee alijitoa muhanga ina maana wakati wake wa kujitoa muhanga, watenda dhambi wote waliacha kutenda dhambi?

Ina maana wakati wake wa kujitoa muhanga, masikini wa roho wote walitajirika au wenye magonjwa waliponywa?

Ina maana wakati wake wa kujitoa muhanga, mateso/thulma zote zilikwisha?

...
...
...
Nani alikuambia kujitoa muhanga ni kumaliza matatizo na changamoto zote?

Unajenga hoja bila hata kuelewa mantiki ya kujitoa muhanga.

Hajajitoa muhanga ila anaitendea haki nafasi yake ya urais, kwanini useme anajitoa muhanga wakati ndiyo majukumu yake kikazi
 
Kwa siku mbili mfululizo wanaharakati wa ACT wanapambana vikali kujibu mapigo dhidi ya hoja zinazosambaa kwa kasi kuhusu ufisadi wa NSSF. kinachoshangaza, pamoja na magazeti kuandika na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF kutamka wazi mbele ya kamati ya PAC kuwa mradi wa kununua viwanja Kigambon ulingiwa kifisadi, bado ACT wamendelea kupambana kupinga kuwa hakuna ufisadi wowote.

Je sababu ni nini? ACT ina maslahi gani NSSF? au kwasababu Kiongozi mkuu alikuwa Mwenyekiti wa PAC wakati dili hizi zinapigwa? . nawaza tu maana ACT inapambana kwenye NSSF kiliko hata CCM na serikali yake

Zzk mwenyekiti PAC 2005-15 + ufisadi Nssf =2005-15 zzk aliwahitamka kuwa ufadhili wa ACT tunatoka kwa kiongozi wa mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Kwa siku mbili mfululizo wanaharakati wa ACT wanapambana vikali kujibu mapigo dhidi ya hoja zinazosambaa kwa kasi kuhusu ufisadi wa NSSF. kinachoshangaza, pamoja na magazeti kuandika na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF kutamka wazi mbele ya kamati ya PAC kuwa mradi wa kununua viwanja Kigambon ulingiwa kifisadi, bado ACT wamendelea kupambana kupinga kuwa hakuna ufisadi wowote.

Je sababu ni nini? ACT ina maslahi gani NSSF? au kwasababu Kiongozi mkuu alikuwa Mwenyekiti wa PAC wakati dili hizi zinapigwa? . nawaza tu maana ACT inapambana kwenye NSSF kiliko hata CCM na serikali yake
umesha hukumu mkuu?.
kwani wanaosema mradi wa KIFISADI ni CHAMA GANI?.
 
Act ni Zitto na Kitila Mkumbo kwa mbaali na mama Nghwira, sasa nani hao unaotaka kutuambia?!
 
Wale wanatumia akili siyo nyie wa kufyatuka tu. Wanachambua mambo sana na wameahagundua kuwa magufuli ni lulu haijawi tokea rais kama Huyu yangu tupate Uhuru. Rais ambaye hajipendi yeye mwenyewe amejitoa kafara kwa akili ya watu. Ndani asiyejua kwamba rais akienda nje ndo furaha kwake mana anapiga perdiem ndfu sana lakini yeye zote hizi hataki Bali kuwatumikia watu. Kikwete amepiga perdiem ngapi kila siku kusafili na analazimisha safari zingine ili tu apige hela. Tulishuhudia pinda akisema ukiwagusa mafisadi na mtandao wao nchi itayumba lakini yeye kawatumbua na haogopi kuyumba kwa nchi hapo kiasi pesa za ufisadi zimeisha mtaani na ndo mananasema maisha magumu. Kipindi cha jk ajira zilikuwepo has a ualimu lakini angali deni LA taifa lilivyopaa mpaka nchi kidogo iuzwe kabisa.
hahahaha
 
Nyie mnadhani zile kelele za kutochukua posho zilikuwa ivi ivi tu.
 
Ivi nyie Act lini mmekuwa wasemaje wa Nssf
Huo usemaje mmeanza lini
 
Back
Top Bottom