Kwanini 50cent na Floyd Mayweather wanachukiana??

Ugomvi wao ni katika ile product ya blackface pull-up sweater iliyozinduliwa na Gucci juzi kati yenye gharama zaidi ya $890 ambayo inahusishwa kuwa na some racist imagery. So fif anapiga na may ana support the product despite of the mistake made by the Gucci brand designer. View attachment 1023296
Dah, huwafuatilii hawa jamaa... Blackface hii ya juzi wakati jamaa ni miaka kibao sasa!
Hii beef niyajuzi goma lilianza kipindi Floyd anapigana na mflipino

Sent using Jamii Forums mobile app
JIBU FUPI ni kwamba, beef la 50 Cent na Mayweather is all about maslahi baada ya kuwa wamezinguana kwenye The Money Team, kampuni ambayo ilikuwa ya pamoja kati ya 50 Cent na Mayweather lakini nadhani 50 Cent ndie alifanya kazi kubwa zaidi kuisimamisha kwa sababu ilisimama wakati Mayweather yupo jela!

Ndani ya muda mfupi tu, Mayweather akadai 50 hakuwa na chochote ndani ya TMT, na kwa roho safi, 50 Cent akapiga chini TMT na akaanzisha SMS Promotions ambayo hata hivyo aliiweka chini ya mufilisi back 2015!

Na kwa mdomo wake mwenyewe, kupitia Power 106 FM, 50 anadai aliwekeza TMT takribani USD 2 Million ambazo Mayweather, nae kwa mdomo wake mwenyewe mwaka jana alisema 50 hamdai chochote!!

Hilo ndilo jibu fupi!

Jibu refu ni kwamba, beeef lao lilianza back 2012!! Tena hapa tukumbushane back 2007, Mayweather na Fif walikuwa washikaji wakubwa sana kiasi kwamba everybody believed ile ni life long friendship!

Kuanzia 2011, mambo yakaanza kuwa sio mambo! Nadhani 2013 or 2012, Big Boy (Kurt Alexander) wa Power106 FM alifanya mahojiano na 50 na kumuuliza mbona ule urafiki ambao ulionekana ungedumu milele unaelekea kuingia kaburini!

Fif akajibu Mayweather kabadilika sana. Alipotakiwa afafanue ndipo akatoa historia ya Mayweather Promotion (company). Kwamba, the time Mayweather anapelekwa jela, alimwambia Fif ai-promote Mayweather Promotion.Lakini alichokuta 50 as a Mayweather Promotion, ni kama jina tu la Mayweather Promotion lakini hakukua na chochote kama taasisi.. 50 akaona sio issue, angeanzia hapo hapo alipoikuta!

But back in the days, 50 na yeye alishaamua kuingia kwenye masuala ya ku-promote ngumi na plan ilikuwa washirikiane na Mayweather. Hapo ndipo ilizaliwa idea ya The Money Team, TMT!

So, baada ya Fif kuona Mayweather Promotions ipo ipo tu, akaipiga chini na ikazaliwa rasmi TMT na kusainisha mabondia! Hapa Fif anadai ali-invest karibu USD 2 Million! Remember, ingawaje Mayweather alikuwa na hiyo Mayweather Promotions, lakini by the time mapambano yake yalikuwa yanasimamiwa na Golden Promotions... so, hapa unaweza kupata picha ya nini Fif alikisema kuhusu Mayweather Promotions!

Fif alifanya yote hayo akitarajia kitakachotokana na TMT kitakuwa chao wote!

Mayweather alipotoka kifungoni, akakuta TMT imenoga na tayari ina Boxers wa kutosha! Sasa wakati Fif akitarajia wangekuwa wanakula pasu kwa pasu,Mayweather akamwambia 50 hakuwa na chake pale na kama kuna alichofanya, hakumtuma afanye! Aidha akadai hata hao mabondia waliokuwa signed na TMT walishasainiwa na Mayweather Promotions hapo kabla, na kwahiyo TMT ni mali yake (Mayweather)!!

50 Cent akaona isiwe kesi... akapiga chini TMT Promotions na akaanzisha SMS Promotions! Miezi michache baadae, SMS Promotions ikatangaza ku-team up na Manny Pacquiao ambae alionekana ni rival mkubwa wa Mayweather ingawaje walikuwa hawajasimama ulingoni enzi hizo!!

Mwaka jana, Mayweather alihojiwa na Complex News. Jamaa ukimsikiliza, unaona wazi kwamba ali-mind sana suala la Fif kuanzisha SMS Promotions na akasema wazi aliongea na mchizi kwamba, wakati yeye (Mayweather) hana mpango na G-Unit, how come 50 anajiingiza kwenye boxing promotions! Mayweather alichukulia suala hilo la Fif kama hujuma dhidi yake though hapo kabla alikuwa happy tu kwa Fif kuingia kwenye boxing!

REMEMBER, kabla Fif hajajulikana kwenye ulingo wa muziki, alikuwa na ndoto za kuingia kwenye masumbwi na alishazichapa kwenye ametuer levels!

Sasa ukiunganisha hizo dots, utaona wazi kwamba bifu lao ni suala la kimaslahi!

But all in all, jamaa baadae ikawa kama wameyamaliza hivi kwa sababu kuelekea pambano la Mayweather na Pachquao, Fif na Mayweather walionekana pamoja!!! Later wakaonekana tena pamoja pande za Vegas and so on!

Beef likarudi upya baada ya Mayweather kuonekana ame-team up na Tearra Mari, yule demu ambae kila ukienda kwenye page ya Fif, utakuta jamaa (50) anamdai pesa yake kutokana na Tearra kushindwa kesi aliyokuwa amemfungilia 50 na matokeo yake akaambiwa yeye ndo amlipe 50 Cent!

Fif akam-mind upya mshikaji wake ambae walishaanza kurudisha uhusiano wao!

Kabla issue ya Mayweather na Tearra haijapoa, Marquise Jackson; yaani mtoto wa 50 aka-post picha na Mayweather!

Huyu Marquise na babake (50) hawana uhusiano mzuri ingawaje bifu lao limechangiwa sana na kuvunjika kwa uhusiano wa mamake Marquise na 50 wakati huo dogo akiwa only 10.

Na kabla ya hapo, Marquise huyu huyu ambae alishawahi kusema muziki wa 50 unaboa, nyuma kidogo alishawahi kumfagilia Ja Rule; adui wa 50! Na baada ya Marquise kuwa ame-post pic na Mayweather, miezi michache baadae aka-post pic nyingine akiwa na mtoto wa Kenneth McGriff (Supreme)!

Huyu Supreme alikuwa Mafia kweli kweli akiendesha The Supreme Team pande za South Jamaica, maarufu kama Southside (Queens) ambako ndo maskani asilia ya 50 Cent na wengineo kama akina Nick Minaj. Na according to Feds, ni huyu Kenneth McGriff (Supreme) ndie alipanga njama za kumuua 50 Cent back in 2000 kwa madai kwamba 50 aliwa-snitch kupitia track yake ya Ghetto Quran!

Sasa ukirudi kwenye kuibuka upya kwa bifu la 50 Cent na Mayweather, ikanoesha wazi kwamba jamaa ( 50 ) ali-mind suala la Mayweather ku-side na maadui zake! Kwanza ka-side na Tearra Mari ambae kamfungulia kesi! Mara anaonekana kwenye picha ya pamoja na mwanae (Marquise) huku dogo akiwa happy kweli kweli; dogo ambae keshawahi kuponda muziki wa babake huku akisifia muziki wa adui ya babake (Ja Rule), Ja Rule ambae pia ni mshikaji wa Supreme (Kenneth McGriff) aliyetaka kumuua 50!!

Bifu likarudi upya!!

In short, 50 ana kautoto fulani hivi! Yaani adui yake yeye anataka awe ni adui wa wale anaowaona kama washikaji zake, kinyume cha hapo, nongwa! Lakini kwa upande mwingine, ukiangalia huo mtiririko, utaona there's nothing serious kati ya 50 Cent na Mayweather sema 50 ni mzinguaji sana, and love to make funny of other people! Angalia anavyopenda kumzingua mwanamama Wendy Williams!
 
For sure siwafuatilii, am just speaking of the bases ya hayo mapost post ya 50 kumuhusu May
 
Wêwe sasa ndo nimekuelewa kuhusu hii ishu ya fif na mayweather hapo naona ni mgongano wa kimaslai, lakini naomba pia unifafanulie je ni kweli 50 amefulia au anajificha tu kwa wadeni wake washindwe kumdai?
 
Fifty hajafulia na wala hajawahi kufulia! Ambacho kilitokea ni kwamba, 50 alikuwa anadaiwa takribani USD 17 million na kampuni ya Sleak Audio! Sasa wakati hili halijakaa sawa, kesi ambayo alifunguliwa na Lastonia Leviston na yenyewe ikatolewa hukumu kwamba Fifty amlipe huyo mwanama USD 6 Million.

Lastonia alimshitaki 50 baada ya mchizi ku-post sex tape ya Lastonia.

Alipoona hivyo, 50 akaamua ku-take advantage ya sheria inayotokana na Chapter 11 Bankrupcy Protection. Hii sheria ni kwamba, kama as a company unadaiwa, unaweza ku-file bunkrupcy protection ili wadai wako, among other things wasikupeleke mahakamani na kusababisha kukamatwa kwa mali zako kulipia deni. Mahakama ikikubaliana na hoja zako, unapewa hiyo protection na kupewa muda wa kulipa deni husika kidogo kidogo!

Inaelekea Fif' lilimuuma sana hilo deni la USD 6 Million ambalo kimsingi lilitokana na ujinga wake mwenyewe! So, akatumia hiyo Chapter 11 Bankrupcy Protection na kudai amefulia !

Baada ya kesi kusikilizwa, mahakama ikakubalina nae (ingawaje alishataka kuharibu) na kupewa 5 years Plan kulipa madeni yake! Hata hivyo, tayari keshalipa karibu kiasi chote anachodaiwa hata kabla ya hiyo miaka 5 haijaisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom