Kwanini 50cent na Floyd Mayweather wanachukiana??

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,669
2,000
Ugomvi wao ni katika ile product ya blackface pull-up sweater iliyozinduliwa na Gucci juzi kati yenye gharama zaidi ya $890 ambayo inahusishwa kuwa na some racist imagery. So fif anapiga na may ana support the product despite of the mistake made by the Gucci brand designer.
images(3).jpeg
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,135
2,000
Ugomvi wao ni katika ile product ya blackface pull-up sweater iliyozinduliwa na Gucci juzi kati yenye gharama zaidi ya $890 ambayo inahusishwa kuwa na some racist imagery. So fif anapiga na may ana support the product despite of the mistake made by the Gucci brand designer. View attachment 1023296
Hii beef niyajuzi goma lilianza kipindi Floyd anapigana na mflipino

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom