kiuhalisia inatakiwa tule kama walavyo watoto akishiba anaacha,sasa mama akija huko na kiboko eti malizia chakula ndo pale tunaanza kuleta ulaji uso na tija mwilini na mtoto akikua hvyo maana yake hata akiwa mkubwa hawezi kubalance chakulamazoea tangu utoto unachapwa umalize chakula
Mkuu uko sahihi kabisa, mimi huwa nakula pia kwa style hiyo, nikimaliza kula ukiniambia nikimbie nakimbia, naamini sana kula kwa kiwango kidogo bila kuzidi ndio dawa ya maradhi yote.Binafsi Nakula kutuliza njaa unakula mpaka tumbo linavimba kama uhama duniani
na tumbo linatanuka tangu utotonikiuhalisia inatakiwa tule kama walavyo watoto akishiba anaacha,sasa mama akija huko na kiboko eti malizia chakula ndo pale tunaanza kuleta ulaji uso na tija mwilini na mtoto akikua hvyo maana yake hata akiwa mkubwa hawezi kubalance chakula
kiuhalisia inatakiwa tule kama walavyo watoto akishiba anaacha,sasa mama akija huko na kiboko eti malizia chakula ndo pale tunaanza kuleta ulaji uso na tija mwilini na mtoto akikua hvyo maana yake hata akiwa mkubwa hawezi kubalance chakula
Sembe wapi hata Dona si jeusi hivikitu cha sembe hicho
Hao kwenye picha ni wanaume wa Dar? AmavubiView attachment 364039
HUWA NATAFAKARI SANA
Ninapoona mama haridhiki mtoto akila chakula kidogo hadi anafikia kumchapa ati ale ashibe hadi aone tumbo limejaa
Mtu mzima anakula lakini asiposhiba yaani chakula kidogo haridhiki ...ukitaka kuuona huu ubishi hasa uende wanapouzia chips utasiki 'za kushiba'
Hivi hii asili yake ni nini hasa?
ina tija yoyote kwenye mwili ama akili ya mwanadamu ama ni mazoea tu y kurithi?
View attachment 364038
Je unapendelea kula sana hadi tumbo liwe gundu kama kindiki?
Fahamu kuwa kula sana hadi kuvimbiwa siyo sifa, bali ni hatari kwa afya yako. Unaweza kusababisha matatizo ya kiafya ambayo yasiyoweza kurekebishika.
Ni vizuri kula chakula kiasi kwa wakati mmoja ili kutunza afya bora na kupunguza kiungulia. Kula chakula kingi kupita uwezo kwa wakati mmoja hufanya tumbo kutanuka zaidi ya uwezo na kusababisha chakula kurudi kwenye njia ya koromeo.