Lakini si unajua mbezi yote haina mgahawa, sehemu ambayo unaweza kaa umechomekea na ukatapata heshima ni Safari baar, maana pale kwa mama Tabu, akikuona unakushusha sana, sasa nani anataka kushuka.safari baaa hakuna ugali wala wali wa kushiba pale ila ile special utumbo ndio yenyewe ya kutosha
Hee sorry bado Wana Kahana?Tatizo Kidot, she is very demanding.
Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo yake mengi anayofanya kwenye sosho media yanaonekana Duniani kote kwa sababu anamashabiki Dunia nzima. Tatizo linakuja katika Picha zake na Video anazoposti kwenye soshomedia hazina kiwango kama yeye alivyo na kiwango. Picha zake na video nyingi zinapigwa ama "Kushutiwa" kwa simu ya mkononi. Msanii kama Kiba anatakiwa awe na Mtu/watu maalum ambao watakuwa wanahusika na Picha na Video zake. Natumaini Soon Sony music wataliona hili na watalifanyia kazi. Kwasasa msanii wetu huyu yupo katika ramani ya dunia kwahiyo hana budi kufanya kazi zake "Kiprofeshno" Zaidi.
Nawasilisha kwa hisani ya #mckonjetv
Huko ndiko kuzuri nitatembela huko, asikudanganye bw. Mtu kula, kuna rafiki yangu nilimuona pale kwa Mathias Kibaha, anazipiga chapati 15 na chupa moja ya chai, mwenyewe anakuambia ni mlo wa kawaida wa kila siku na wala sio wa Sikukuu.Uku kwetu bondeni utaskia tanua utumbo dogo sio unakwenda kwa mchezaji unashindwa kutafuna.unaweza kula mifuko miwili?
Mkuu hizi Safari bar ziko nyingi sasa sijui kama zinamilikiwa na mtu mmoja. Kimara ipo tena ina eneo kubwa na pako vizuri sana.Hivi Kimara napo Kuna safari bar?!
Hee sorry bado Wana Kahana?
Duuu uyo wana wanamgombania.yaani safari nje nje.Huko ndiko kuzuri nitatembela huko, asikudanganye bw. Mtu kula, kuna rafiki yangu nilimuona pale kwa Mathias Kibaha, anazipiga chapati 15 na chupa moja ya chai, mwenyewe anakuambia ni mlo wa kawaida wa kila siku na wala sio wa Sikukuu.
bila kujali unakula matapu tapu au mboga saba, cha kwanza ni kuganga njaa, kushiba ni maana yake ni kilidhika kwa tumbo. Tumbo halijalidhika hujashiba, na kama hujashiba unanjaa, alafu nikumbushe tu asilimia watu wasiokula vyakula visivyo pangiliwa, ndiyo wenye miili iliyojengeka na afya njema yenye nguvu tele. Hao wanaopangilia vyakula ukikuta mtu mnene kilimani anahema sana, uzito wake nguvu zake huwa haziendani na miili yao.kila kidogo chakula chenye nutrients zote ni vyema Kukiko kuka sana halafu ni mataputapu .
Wengi tunadanganywa na ulimi .
kwa mama tabu ni hapa kwenye chocho?kuna babu mmoja anajua sana kucare watejaLakini si unajua mbezi yote haina mgahawa, sehemu ambayo unaweza kaa umechomekea na ukatapata heshima ni Safari baar, maana pale kwa mama Tabu, akikuona unakushusha sana, sasa nani anataka kushuka.
mwanaume kula ni mazoezi ya tumbo
Ndiyo ni hapo hapo, nikitoka hapo naenda kupata maziwa pale juu, stend mpya stend ya magari ya kinyelezi, jirani na ile baar.kwa mama tabu ni hapa kwenye chocho?kuna babu mmoja anajua sana kucare wateja
nhahaaa kwa nyuma ya mama mnyiramba wa maziwa kuna bar kwa pembeni ni kitimoto tupu ipo chimbo fulani hiviNdiyo ni hapo hapo, nikitoka hapo naenda kupata maziwa pale juu, stend mpya stend ya magari ya kinyelezi, jirani na ile baar.
Ni kweli ila sasa amejenga upya, anachotakiwa kufanya kuondoa lile jengo lililo bomolewa iwe sehemu ya kupaki magari, alafu ajenge sehemu inayokusanya watu wengi kama mwanzo.nhahaaa kwa nyuma ya mama mnyiramba wa maziwa kuna bar kwa pembeni ni kitimoto tupu ipo chimbo fulani hivi
safari bar imepwaya baada ya kuvunjwa hivi karibuni
For sure yani ktk watu ambao inabidi wasile sana ni wale ambao shughuli zao wamekaa siku nzimaTatizo la afrika ni watu wanafanya kazi za ofisini kwenye viyoyozi wanakula kama watu wanaofanya kazi ya kulima au kuchimba mitaro kwa kutumia mikono
A layman thinking .....View attachment 364039
HUWA NATAFAKARI SANA
Ninapoona mama haridhiki mtoto akila chakula kidogo hadi anafikia kumchapa ati ale ashibe hadi aone tumbo limejaa
Mtu mzima anakula lakini asiposhiba yaani chakula kidogo haridhiki ...ukitaka kuuona huu ubishi hasa uende wanapouzia chips utasiki 'za kushiba'
Hivi hii asili yake ni nini hasa?
ina tija yoyote kwenye mwili ama akili ya mwanadamu ama ni mazoea tu y kurithi?
View attachment 364038
Je unapendelea kula sana hadi tumbo liwe gundu kama kindiki?
Fahamu kuwa kula sana hadi kuvimbiwa siyo sifa, bali ni hatari kwa afya yako. Unaweza kusababisha matatizo ya kiafya ambayo yasiyoweza kurekebishika.
Ni vizuri kula chakula kiasi kwa wakati mmoja ili kutunza afya bora na kupunguza kiungulia. Kula chakula kingi kupita uwezo kwa wakati mmoja hufanya tumbo kutanuka zaidi ya uwezo na kusababisha chakula kurudi kwenye njia ya koromeo.