Kwaniini watu wanakula sana (kushiba)?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
FB_IMG_1467814943308.jpg

HUWA NATAFAKARI SANA

Ninapoona mama haridhiki mtoto akila chakula kidogo hadi anafikia kumchapa ati ale ashibe hadi aone tumbo limejaa

Mtu mzima anakula lakini asiposhiba yaani chakula kidogo haridhiki ...ukitaka kuuona huu ubishi hasa uende wanapouzia chips utasiki 'za kushiba'

Hivi hii asili yake ni nini hasa?

ina tija yoyote kwenye mwili ama akili ya mwanadamu ama ni mazoea tu y kurithi?

02e53d6b32b285a7392d43a9596355f9.jpg

Je unapendelea kula sana hadi tumbo liwe gundu kama kindiki?

Fahamu kuwa kula sana hadi kuvimbiwa siyo sifa, bali ni hatari kwa afya yako. Unaweza kusababisha matatizo ya kiafya ambayo yasiyoweza kurekebishika.

Ni vizuri kula chakula kiasi kwa wakati mmoja ili kutunza afya bora na kupunguza kiungulia. Kula chakula kingi kupita uwezo kwa wakati mmoja hufanya tumbo kutanuka zaidi ya uwezo na kusababisha chakula kurudi kwenye njia ya koromeo.
 
mazoea tangu utoto unachapwa umalize chakula
kiuhalisia inatakiwa tule kama walavyo watoto akishiba anaacha,sasa mama akija huko na kiboko eti malizia chakula ndo pale tunaanza kuleta ulaji uso na tija mwilini na mtoto akikua hvyo maana yake hata akiwa mkubwa hawezi kubalance chakula
 
Binafsi Nakula kutuliza njaa unakula mpaka tumbo linavimba kama uhama duniani
Mkuu uko sahihi kabisa, mimi huwa nakula pia kwa style hiyo, nikimaliza kula ukiniambia nikimbie nakimbia, naamini sana kula kwa kiwango kidogo bila kuzidi ndio dawa ya maradhi yote.
Huwa nakaa Muda mrefu bila kuumwa umwa hovyo
 
kiuhalisia inatakiwa tule kama walavyo watoto akishiba anaacha,sasa mama akija huko na kiboko eti malizia chakula ndo pale tunaanza kuleta ulaji uso na tija mwilini na mtoto akikua hvyo maana yake hata akiwa mkubwa hawezi kubalance chakula
na tumbo linatanuka tangu utotoni
 
mtoto umleavyo................................. matokeo na yeye anarithisha vizazi
kiuhalisia inatakiwa tule kama walavyo watoto akishiba anaacha,sasa mama akija huko na kiboko eti malizia chakula ndo pale tunaanza kuleta ulaji uso na tija mwilini na mtoto akikua hvyo maana yake hata akiwa mkubwa hawezi kubalance chakula
 
View attachment 364039

HUWA NATAFAKARI SANA

Ninapoona mama haridhiki mtoto akila chakula kidogo hadi anafikia kumchapa ati ale ashibe hadi aone tumbo limejaa

Mtu mzima anakula lakini asiposhiba yaani chakula kidogo haridhiki ...ukitaka kuuona huu ubishi hasa uende wanapouzia chips utasiki 'za kushiba'

Hivi hii asili yake ni nini hasa?

ina tija yoyote kwenye mwili ama akili ya mwanadamu ama ni mazoea tu y kurithi?

View attachment 364038

Je unapendelea kula sana hadi tumbo liwe gundu kama kindiki?

Fahamu kuwa kula sana hadi kuvimbiwa siyo sifa, bali ni hatari kwa afya yako. Unaweza kusababisha matatizo ya kiafya ambayo yasiyoweza kurekebishika.

Ni vizuri kula chakula kiasi kwa wakati mmoja ili kutunza afya bora na kupunguza kiungulia. Kula chakula kingi kupita uwezo kwa wakati mmoja hufanya tumbo kutanuka zaidi ya uwezo na kusababisha chakula kurudi kwenye njia ya koromeo.
Hao kwenye picha ni wanaume wa Dar? Amavubi
 
Kuna siku nilikua niko Safari baar, iliyoko mbezi mwisho, nikaagiza ugari umeletwa yaani sikuamini unaweza amelletewa mwanangu Nadhifa Mungu ampe furaha, chakula kilikua kidogo sana nililazimika kumuuliza mhudumu labda ameleta kwangu kimakosa, nilikula hata njaa haikupoa, sekulidhika ilinibidika gengeni kwa mama Taabu.
 
safari baaa hakuna ugali wala wali wa kushiba pale ila ile special utumbo ndio yenyewe ya kutosha
 
Tatizo la afrika ni watu wanafanya kazi za ofisini kwenye viyoyozi wanakula kama watu wanaofanya kazi ya kulima au kuchimba mitaro kwa kutumia mikono
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom