Kwani wewe unanini..?

wewe ndio umeleta mada hii mkuu, mbona mhusika kanielewa...kwa mantiki hiyo basi kusingekuwa na BAN maana hata kutukanana pia kwa wengine ni kitu poa tu.
Ndio maana nikakwambia ukiona mada haina mashiko kwako sepa kimya kimya,kazi zingine ni za ma MODS
Ndio mana kuna SPECIALIZATION mkuu.
 
Hizi mada nyengine si za kuwekwa kwenye public forums

Unafungia pc na mtoto wako wa miaka 8 mnakutana na heading hii, ni vyema kweli?

Au unafungua na baba yako jee?
 
kuna watu wengine wanatongoza kwenye bus tena kwa sauti kubwa,mpaka inakera
 

hahahaha
umenichekesha
sana
 
toka mwaka uingie leo nacheka ha ha ha ha ha ha ha ha hyo mbinu inaitwa nguvu ya umma
 
Ukiwa mwizi, tapeli, mnyang'anyi, utapatikana ktk anga za watu wa dizaini hiyo! Wadada wengi siku hizi ni matapeli wakubwa, sasa kama kamtapeli jamaa vijisenti vyake kiasi cha kutosha na jamaa kaamua kumnyang'anya uhuru wake wa kuamua kutoa ngono tatizo liko wapi?! Mara nyingi vikiwekwa hapa visa vya vijana/wanaume kudanganywa na wanawake, kugharimika na mwisho kuambulia patupu, huwa tunashuhudia kejeli za kila aina. Sasa kikija kisa cha hao waroho na matapeli wa kike kukomeshwa kama hiki watu wanageuka tena! Kwa nini tusiwe wakweli...?! Msichana mzuri na mwenye maadili hataonekana bar au sehemu yyt akitumbua vijihela vya wanaume asiokuwa na mpango nao. Pole yake, na usishangae mda huu anamtafuta jamaa amwambie amemmiss...!
 
hahaha kweli huyo ndio mwanaume wa kweli!!! inabidi na mie nianze kuitumia hiyo mbinu.....

hapo ndo ntakushusha nyota , mwanaume anatumia lugha laini tu, mwanamke c punda , ukiona hadi utumie nguvu inabidi ujitathmini upya na urudi jandoni,
 
Ndio dawa yao hawa, wanakila bia zako alafu ikifika muda wa malipo wanajifanya hawajawahi kabisa na ukizubaa wanakutoroka na ukiwa ----- wanakuwekea yale mabo ya pale Uhuru Peak
kula uliwe
 
Mshenzi wa tabia tuu huyo jamaa,anamuonyesha nani? basi watu kama hao ukiwavulia nguo wanakua kama kuku hana lolote.

wadada wenzangu muwe mnaangalia na watu wa kutoka nao, mwengine hata akikulipia nauli ya daladala tu atataka ukailipe sembuse hizo bia, achaneni na hao pasua kichwa kuna watu wanajua kugharamia na ukipenda unampa kwa ridhaa yako na c kwa sababu kadai, kitu gani bana kwani bia sh. ngapi
 
Ha! yaani ndio mchezo wako??? Unajua kwa nini ukiingiza anaanza kukatika? anakatika ili tu usimchubuwe lakini rohoni huwa anaumia sana kufanywa bila ridhaa yake.

u know something about ths...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…