Kwani wewe huwezi kuwa rais!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Jamani kwani kuwa raisi lazima uwe na madigrii mangapi? Mi nataka kwa raisi bana huitaji kuwa msomi sana busara inatosha! Niungeni mkono 2015! Kura za JF tu peke yake zinatosha kuniingiza pale magogoni.
 
Back
Top Bottom