kwani we uliwazaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwani we uliwazaje?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Feb 14, 2012.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nikamwuliza niweke?akasema weka,nikaweka,nikamwuliza nilambe,akasema lamba,halafu nikalamba,mchezo ukaenda,nikalamba tena,nikalambaaa!si akageuza,nikaanza kulamba tena,akageuza tena,nikamlamba,nikamwuliza nile?akasema kula,nikamwuliza tena nile?akasema kula,nikamwambia geuza,ile anageuza kama utani vile kweli nikala.mchezo wa karata una mambo yake.
  kwani we uliwazaje?
   
 2. m

  mkazamjomba Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niliwaza kama wazo
   
 3. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haahahaahahahha mkuu bana.........
   
Loading...