Kwani vip?

Kwani vip?

Ndiyo maisha yenyewe hayo bado tupo nyuma sana hasa maeneo ya vijijini,inauma uchungu!
 
jamani Taifa linaangamia,ni kweli mpaka leeo kuna shule
za ivyo!pole sana Dogo,one Day yes!!
 
Mbona haya ndiyo maisha ya watoto wa kijijini??Mimi sishangai kwani mimi nimmoja wa wahanga waliokutwa na hali hii!!:tape:
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, enzi za kuweka viraka
Kijijini kwetu kukiwa na mtaalamu mmoja Masatu Lutende
 
.........Kama hawa watoto ni WAKITANZANIA ndani ya TANZANIA, basi uchumi wetu unaendelea "KUKUA"
 
.........Kama hawa watoto ni WAKITANZANIA ndani ya TANZANIA, basi uchumi wetu unaendelea "KUKUA"

uchumi wetu kwa kweli unakua kwa kasi haswa ukizingatia kwamba tunaongozwa na mtu ambaye anasafiri KULIKO HATA MARUBANI WENYEWE! Yupo na mkewe kwa maximo! huku watoto makalio nje! mwenye ramani ya kwenda sayari ya mars plz msaada, nchi hii inanikwaza sana, na kunifanya nitende dhambi ya usengenyaji kila cku!
 
Back
Top Bottom