Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 309
- 741
MBNA Hao madalali wapo sisi madalali tunadalalia vitu tofauti tofauti,, kama mm
Simu, magari, ufundi simu n.k, TV, radio nasubwoofer, nguo, saa n.k na vyote na zaidi nimedalalia...
Mkuu mbona udalali upo wa aina nyingi tu hapa bongo wengine ni madalali wa mademu bongo hii.
Ukitaka demu mkali na huna connection unatoa noti watu wanakuletea na 10% wamekulaa.
Au hata hapo k.koo ukienda kununua bidhaa ujue kuna mtu wa kati kala hela yako labda kama umeongea na mwenye duka mwenyewe.
Uchumi wa kati. Mi 5 tena.
Unaenda kwa wenye maduka ya bidhaa unazotaka kuwa broker wake unawaomba picha za bidhaa na bei zake pia kuongea nao juu ya intention yako kutangaza biashara na kila kichwa utachukua asilimia fulani. Hakuna mfanyabiashara asiependa kuuza zaidi. Hivyo mtafikia makubalino ukileta mteja unachukua chako.Hapo kwa bidhaa za kariakoo hapo. How does it go ?? Ndipo napo pataka mm.
Assuming simjui mtu kkoo na sina duka kkoo ila nataka niwe broker.
Itakua wewe tu ndio umechelewa kujua udalali upo kwenye kila nyanja, hivi hapa kuna mtu nilimdalalia akapata kazi kwenye kampuni flani ni engineer kwenye mshahara wake nakula 25% kila mwezi
Habarini Wandugu JF
To the Point
Kumekua na Dhana Kwamba Mtu kuwa dalali au kutaka kujihusisha na udalali ni lazima iwe kwenye viwanja / nyumba na Magari (magari ndio trend ya siku hizi) + ni kazi flani inadharaulika wakati majuu kuna watu millionaires in $ kwa udalali tu kwani hapa kwetu tuna fail nn ??
Dhumuni la kuleta uzi huu ikifaa ni ku brainstorm idea zingine za udalali mtu anaweza ji position as his / her profession na maisha yakaenda ukicheck swala la ajira limekua mtihani kwa sasa kwenye jamii zetu.
Idea mbili tatu za udalali ambazo mimi binafsi nimewaza
1. Spare za Magari
2. Kudalalia Mafundi
i.e
Fundi Welding (Unachukua kazi unatafuta fundi
Mnapatana bei and u make ur margin)
Fundi Masofa (hivyo hivyo)
Designer Clothing (Mambo ya Suit za Maharusi etc Washonaji wachache sana wengi wana idea tu ila washonaji ni wengine)
Karibuni Wadau Tu Share Maarifa.
My dream ni kuwa a big dalali in Kariakoo big tym.
Unapojaribu kwenda Beyond na wengine kuna mambo mawili
1)Upunguze gharama za Huduma ya mwanzo
2)UMake profit zaidi ya hao prayer wengine.
Sasa wewe instead kuja na kitu cha tofauti na chenye high profit margin kushinda hao uliowataja umeshuka chini zaidi.
Udalali ni game ya kuuza asset kuna asset nyingi ila kubwa ni Gari, Nyumba na Viwanja Big shark lazima wacheze na uwanja huo nilitegemea wewe kama Game changer uwende beyond kuleta kitu cha tofauti kwa Title ya uzi wako kama kudalalia kampuni zinazouzwa nk au kubadili udalali huohuo kuufanya kwatofauti kama Airnbnb nk ila naona wewe umeshuka chini zaidi kuelezea udalali wa vitu vyenye faida mbuzi.
Kashakupa mdau huyuTupe idea za deal / idea za faida ng’ombe. Karibu
Watanzania na waafrica ni tumalala
Ngoja nikuchekeshe
Kuna wazungu walianzisha mfumo wa kuwa madalali wa hoteli wakajiita Booking.com ni mabilionaire
Kuna wazungu walianzisha mfumo wa kuwa madalali wa kupanngisha NYUMBA na vyumba wamejiita airbnb ni mabilionaire
Billionaire namba 2 duniani Jeff Bezos biashara yake iliyompa utajiri ni udalali, alianzisha mfumo wa kudalalia bidhaaa zinazouzwa na watu mbalimbali akauita Amazon
Sisi waafrica bado tuko usingizini
Watanzania na waafrica ni tumalala
Ngoja nikuchekeshe
Kuna wazungu walianzisha mfumo wa kuwa madalali wa hoteli wakajiita Booking.com ni mabilionaire
Kuna wazungu walianzisha mfumo wa kuwa madalali wa kupanngisha NYUMBA na vyumba wamejiita airbnb ni mabilionaire
Billionaire namba 2 duniani Jeff Bezos biashara yake iliyompa utajiri ni udalali, alianzisha mfumo wa kudalalia bidhaaa zinazouzwa na watu mbalimbali akauita Amazon
Sisi waafrica bado tuko usingizini