RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,861
- 137,152
Sasa kwa case hii wanawake wana kosa gani? Sio kwamba walimsaliti CIA wametumia mbinu zao kujua Osama yuko pale na kwa kutumia mbinu zao wakajua kuna watoto ma kupitia watoto wakapata DNA. Sasa hapo wale zake wana kosa gani?Lakini mwishowe pia wake zake walitumika japo ni indirect wale mashushushu waliojifanya ni madaktari na kufanikiwa kuchukua damu zao pale kijijini