Kwani tuliwakosea nini wanawake? Tangu Eden?

Kwani tuliwakosea nini wanawake? Tangu Eden?

20260225_184443.jpg
 
Nimekumbuka mada yako ya Lilith😀
Wanawake watakuwa anguko la wanaume: Kiongozi wa karteli anayesakwa zaidi duniani… aliangushwa kwa sababu ya mwanamke, mazungumzo ya faragha na ziara ya usiku 💔😭

Jeshi la Mexico lilikuwa likimfuatilia El Mencho kwa miaka bila mafanikio. Mpaka walipoanza kumchunguza mtu aliyekuwa karibu na mmoja wa wapenzi wake.

Walimfuatilia mtu wake wa kuaminika, aliyekuwa akisindikiza, hadi Tapalpa, Jalisco, usiku wa Ijumaa.

Alienda kulala usiku huo pamoja na El Mencho.

Wakaangalia, wakasubiri, kisha wakathibitisha eneo lake halisi kwa kutumia pia taarifa za kijasusi kutoka Marekani.

Halafu… akaondoka asubuhi. 🚶‍♀️

Sekunde tu baada ya kuondoka, vikosi maalum vilivamia — helikopta 6, vikosi vya ardhini. Operesheni nzima ilikuwa tayari imepangwa.

Alikuwa na silaha nzito hata za kurusha makombora, lakini bado alikamatwa akiwa amejificha vichakani. 🌿

Mchezo ukaisha
1772037459928.jpg
 
Mara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake.

The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo”

Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko Tapalpa (Jalisco) nchini Mexico,

Lokesheni yake ilitambulika mara tu baada ya kufanya mawasiliano na bebe yake “Guadalupe Moreno Carrillo”

Alivamiwa na kikosi maalumu cha jeshi la Mexico, na kuuawa.

Wahuni waliwalinda sana MaBosi zao, tena kwa uaminifu wa hali ya juu bila ya USNITCHI wowote ule, Guess what!

Maanguko yao yametokea vilevile kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Adamu (EVA) au Mzee wetu Samsoni (DELILA).

Bible imeshatuasa! Tuishi nao kwa akili😀🙌🏿🏃🏿View attachment 3548576
Sio kwamba majasusi wali wire tap mawasiliano yao kwa watu wa karibu? Mara nyingi watu wengi hawawezi kuacha mazungumzo na familia zao hapa ndio mke anapiingia. Ndio maana Bin Laden hakuwa anatumia simu za kawaida.
 
Sio kwamba majasusi wali wire tap mawasiliano yao kwa watu wa karibu? Mara nyingi watu wengi hawawezi kuacha mazungumzo na familia zao hapa ndio mke anapiingia. Ndio maana Bin Laden hakuwa anatumia simu za kawaida.
Lakini mwishowe pia wake zake walitumika japo ni indirect wale mashushushu waliojifanya ni madaktari na kufanikiwa kuchukua damu zao pale kijijini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom