Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,991
- 831,560
Mara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake.
The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo”
Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko Tapalpa (Jalisco) nchini Mexico,
Lokesheni yake ilitambulika mara tu baada ya kufanya mawasiliano na bebe yake “Guadalupe Moreno Carrillo”
Alivamiwa na kikosi maalumu cha jeshi la Mexico, na kuuawa.
Wahuni waliwalinda sana MaBosi zao, tena kwa uaminifu wa hali ya juu bila ya USNITCHI wowote ule, Guess what!
Maanguko yao yametokea vilevile kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Adamu (EVA) au Mzee wetu Samsoni (DELILA).
Bible imeshatuasa! Tuishi nao kwa akili😀🙌🏿🏃🏿