kwani nini mtu ujifanyie uumbaji mwenyewe

kwani nini mtu ujifanyie uumbaji mwenyewe

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,190
Reaction score
128,243
kwa nini ujitese.jpg huyu mwanadada anoana mungu alikosea kuumba
 
Alichofanya ndicho sicho. Atajutia katika maisha yake. Mungu hadhihakiwi. Natoa mwito kwa wote wenye kupenda kuiga, hili walikimbie kama ukoma.
 
hii picha imetengenezwa...hebu legezeni misimamo kidogo.
mnatuaibisha bandugu bapenzi.
 
urembo tu huo, msiogope...je na wale wanaojitoga ulimi, vitovu, na maeneo laini mtasemaje?
 
Back
Top Bottom