kwani ni lazima kumuonga penzi profesa ili ufaulu course??.
Kwani ni lazima kupiga picha za utupu ili uwe ma_harufu??
Kwani ni lazima kuwa na m/michepuko??
Kwani ni lazima kumchukia mdada akikataa tongozo lako??
Kwani ni lazima kuishi maisha ya kuigiza??
Haya sasa wadau ongeza KWANI NI LAZIMA yako/zako twende sana.
Kwani ni lazima kucomment unachotaka kucomment???
Aaah aaah lee gooo