"Kwani mume tatizo?"

Mhm umeandika kama K......vile hasa hio 1st paragraph yani mulemule swaga zilezile Tehteh


Owkey
Wee kapite tu bana kwani si anajua anachokifanya ama??
 
Huyo K ndo nani?

Na unataka kusema huyo K ndo mimi au?
Nononono not you bro miandiko tu kwenye 1st paragraph nimependa


Anyway jua huyo hampendi mumewe na amekukubali na kukuzimikia wewe though ukweli nikwamba yule ni mume wake but but..... [emoji106] [emoji106] wewe[emoji2] [emoji1]
Ama Vyenye mume anamtreat is so [emoji30] [emoji24] [emoji125] [emoji126] au labda ni tamaa tyu ama... ama...ama.... many things are involved

Cc Smart911
 
mbona mimi na wewe ni marafiki?

Kweli Baby J? Yaani unaamini kabisa mimi na wewe ni marafiki tu?

Hebu jaribu basi siku moja kunipa ofa ya hiyo papuchi uone kama ntakataa kwa sababu mimi na wewe ni washikaji...
 
Mume ni majukumu kubeba siyo kuyaongeza
 
hahahahahahah eti umemuonea huruma mume wake hahahahah
 
Sasa mkuu mbona umeshamwaga Mchele kwenye kuku wengi imagine kama imewake kausoma Uzi wako alafu akaamua kukutafutia mazingira ya kukukamata ivi unafikiri atakufanya nini?
 
Sasa mkuu mbona umeshamwaga Mchele kwenye kuku wengi imagine kama imewake kausoma Uzi wako alafu akaamua kukutafutia mazingira ya kukukamata ivi unafikiri atakufanya nini?

Nimetoa taarifa gani zilizo mahsusi kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…