Kwani Magufuli aliwezaje ?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Hii labda iwe Thread ya kupata references mbali mbali za namna Raisi wa Awamu ya tano John P Magufuli alivyoweza kufanikisha mambo mengi kwa mda Mfupi sana,wapo wanajua njia zilizotumika na huwenda zinaweza kusadia kukimbiza mambo kwa sasa kwa yale yote yanayonekana kama vile hayaendi tena kama ilivyokua hapo awali. .

Tujiulize haya na mengine mengi yatakayojaziwa na wadau humu...

Kwan Magufuli yeye aliwezaje,alikua na watu gani wanampatia msaada sahihi ,ni njia zipi alitumia kufanikiwa kiwepesi ?

Je Aliwezaje ?

1.Ndani ya Miaka Mitano kumaliza tatizo la kukatika hovyo kwa Umeme ?

2.Kumaliza kabisa Urasimu kwenye Ofisi za uma ?

3.Kuibua ubatifuli ,uliwaji wa fedha za uma kiholela na kutambua wala Rushwa kirahisi.


View attachment 2137341
 
NCHI HII INAENDESHWA KWA SIRI KUBWA MNO TENA NA WATU WACHACHE WASIO NA UTU WALA HURUMA KWETU

LINI TUTAAMKA VILAZA SISI KUDAI HAKI ZETU????
 
Uongozi wa Magufuli ulikuwa ni wa mapinduzi ya kifikra na safu ya uongozi iliyokuwepo ilikuwa imewekwa kimkakati kutimiza hilo.

Uongozi uliopo sasa umebadili yale malengo na wana malengo mengine kabisa wanayoyajua wao.
Ndio maana wamebadili safu nzima ya uongozi na kuweka nyingine itakayokidhi matakwa yao.

Kwa maana hiyo usitegemee yale yaliyofanywa na Magufuli yafanywe na utawala huu.
 
Uongozi wa Magufuli ulikuwa ni wa mapinduzi ya kifikra na safu uongozi iliokuwepo ilikuwa imewekwa kimkakati kutimiza hilo.

Uongozi uliopo sasa umebadili yale malengo na wana malengo mengine kabisa wanayoyajua wao.
Ndio maana wamebadili safu nzima ya uongozi na kuweka nyingine itakayokidhi matakwa yao.

Kwa maana hiyo usitegemee yale yaliyofanywa na Magufuli yafanywe na utawala huu.

Tabu sana , kwa hiyo akija Mwingine anabadilinDira Vilevile ,anaachana na hii anaanza na ya kwake . Tutafika tukiwa tumechoka sana
 
Hivi mkiongea ndani ya shimo mtasikika kweli?
Toeni taarifa kama hamna huduma ya umeme
 
mbowe aachiliwe,

nimeamini magu aliona umuhimu wa mbowe ndio maana hakumkamata kwa kujazwa maneno.


nasema hivi mbowe aachiwe huru, mnafunga ili mjipee mavyeo mxiuuu.

ccm mboww mwiba usio poa na siku akitoka tunaungana nae. mxiiieu
 
Kwa vitisho vikali vikiambatana na matendo makali dhid ya binadamu hakika tukinjooka vzr San na Hakuna aliweza kumchalllenge magufuli ktk kipindi hicho mma Happ awezi kufinght nmna ile usela mwingi snan
 
Back
Top Bottom