Hawakunizuia ila maswali ya kuniuliza unatoka wapi ni kama vile yalilenga kua sina haki ya kutembea usiku.
Kwa jinsi nijuavyo mimi nchi hii hakuna zuio la watu kutembea usiku.
Huko kwenye mahijab huwa mnaficha mabomu na mihadarati. Ni haki yao kukusachi na kukuuliza.
Nimekupa big like. Tuna polisi wa hovyo kuliko wote duniani. Hata kule kwa wakikuyu kuna afadhalitatizo la polisi wa bongo badala ya kulinda wao wanawinda!
Kumbuka polisi akikusimamisha anayo mamlaka ya kukuuliza unatka wapi/unaenda wapi. Cha mzingi jibu na toa ushirikiano kisha endelea na uendako. Ukiwajibu vibaya ama usipotoa majibu basi watapata sababu ya kukusumbuaKwa jinsi nijuavyo mimi nchi hii hakuna zuio la watu kutembea usiku.