Kwani lazima polisi wajue ninakotoka?

Kwani lazima polisi wajue ninakotoka?

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Usiku huu narudi ktk mizunguko yangu nikakatuna na polisi watatu na polisi jamii wawili,wakaniambia nijitambulishe nikatoa kitambulisho halali cha kazi,cha mpiga kura,kadi ya benk.

Swali lililonishangaza waliponiuliza unatoka wapi?

Sasa wadau najiuliza kwani ni lazima polisi ajue unapotoka na unakoelekea?
 
Mkuu hapo umenikumbusha miaka ya 2005 pale kwa azizi aly kuna jamaa alikuwa anaitwa Mamba!siku moja alikamatwa na polisi mida ya saa 8 usiku wakamuuliza unaitwa nani akasema naitwa MAMBA unakaa wapi akasema Mtoni alipigwa nusu ya kufa eti amewadharau kumbe ni kweli anaishi mtoni mtongani!!!wakampeleka hadi kituo cha polisi kilwa road kesho asubuhi ndugu zake wakapata taarifa na bahati nzuri alikuwa na jamaa yake ni mkubwa serikalini palikuwa hapatoshi,ili bidi wale polisi wamuangukie kwa kumuomba radhi!!
 
Sijui kama huko ktk mafunzo yao wanafundishwa "Challeng procedure"
 
Makamee police wote wananguvu kisheria kusimamisha chombo, kuuliza swali na hata kumsachi mtu ikiwa tu atamjengea hofu huyo mtu au chombo!
Sema hiyo nguvu wamewekewa baadhi ya mipaka, eg kuna hawa kuruta hawatakiwi kusach usiku bila ya kupewa idhini maalum! Au kufuatana na mmoja mwenye hiyo power ya kusachi hadi usiku!
...
Kwa mfumo wa Zanzibar, wale sungusungu na hao afande wamepewa ruhusa ya kusimamisha, kuuliza na kuzuia chombo au mtu watakaemtilia shaka, na wamepewa hata ruhusa ya kuchapa (reasonably) ikiwa itahitajika kufanya hivyo!
...
Sasa wewe saa 6 usiku Zenji bado uko nje?
Unafanya nini? Teh teh teh!
Kwanini usiulizwe?
...
Kumbuka ni public interest ndio imepelekea uwepo wa sungusungu!
 
Kama umesimishwa wakakutambua kupitia vitambulisho vyako halali sasa hilo la kusachiana usiku linatoka wapi.
 
Ni haki ya polisi kujua unatoka wapi kama usiku umekomaa. ni maelezo yako ndio yatakupeleka pabaya au pzr.
 
Kama umesimishwa wakakutambua kupitia vitambulisho vyako halali sasa hilo la kusachiana usiku linatoka wapi.

Inawekwa road block itakuwa wewe kuulizwa unatoka wapi??????!!!!!
Sasa ubaya uko wapi kujibu? ??!!!!
Usiku saa sita umekutana na wanausalama wanataka kujua utokako na pia wangekuuliza mpaka uendapo bado hamna shida mbona????!!!
Mkilindwa taabu mkiachiwa watu wawakabe mnalalama polisi hawafanyi kazi!!!!!!

Hao jamaa ni wastaarabu umekutana nao wewe ilikuwa ni wa kuzunguka na wewe mpaka doria iishe ili ujue atleast kuwa kazi ya mtu inatakiwa heshima!!!!!
Mbona nyumba za wageni zitumikazo na wenyeji mnajaza mpaka adress???!!!!!
Ukilaza gari sehemu ya maegesho unajaza mpaka namba ya simu???!!!!

Siku nyingine wakikuuliza waaambie "natoka kwa mama zenu" hawatokuuliza tena maishani mwako!!!!
 
Sasa swahiba umekutana na wanausalama wakakuuliza hayo maswali na vitu kama hivyo kwa usalama wako lakini bado unalalamika je ingekuwa vp ukakutana na wale jamaa wa upande wa pili? (majambazi) na wakakutovuga vibaya sana. Napo ungelalamika Inji hii haina ulinzi.
 
Nina mashaka na huko ulikokuwa unatoka, kwa nini usitake kusema? kweli askari wakati mwingine wanabore, lakini na sisi wananchi wakati mwingine tunatia shaka, au tunaonesha dharau tu! akikuuliza unatoka wapi ukamwambia "natoka club" atakufanya nini? au ukamwambia "nilipita mpango wa kando", anakufanya nini? Unajua mhalifu mwenye akili mara zote hasumbuliwi, akisimamishwa anajibu maswali politly na accordingly, wanamwachia faster..."haya bana kuwa makini usiku saa hizi", lakini wenzangu na mimi na dharau nyingi ndiyo tunarefusha mambo!
 
Huko kwenye mahijab huwa mnaficha mabomu na mihadarati. Ni haki yao kukusachi na kukuuliza.
 
Usiku huu narudi ktk mizunguko yangu nikakatuna na polisi watatu na polisi jamii wawili,wakaniambia nijitambulishe nikatoa kitambulisho halali cha kazi,cha mpiga kura,kadi ya benk.

Swali lililonishangaza waliponiuliza unatoka wapi?

Sasa wadau najiuliza kwani ni lazima polisi ajue unapotoka na unakoelekea?

Funguka vizuri;

Huo usiku ni saa ngapi???? Kwani kama ni usiku mnene wana haki kukuuliza unakotoka. Pamoja na kuwa na vitambulisho. Hata Vibaka na majambazi pia wana vitambulisho tena wana kazi nzuri tu, lakini Ujambazi na udokozi ni sehemu ya kazi yao pia.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mkuu hapo umenikumbusha miaka ya 2005 pale kwa azizi aly kuna jamaa alikuwa anaitwa Mamba!siku moja alikamatwa na polisi mida ya saa 8 usiku wakamuuliza unaitwa nani akasema naitwa MAMBA unakaa wapi akasema Mtoni alipigwa nusu ya kufa eti amewadharau kumbe ni kweli anaishi mtoni mtongani!!!wakampeleka hadi kituo cha polisi kilwa road kesho asubuhi ndugu zake wakapata taarifa na bahati nzuri alikuwa na jamaa yake ni mkubwa serikalini palikuwa hapatoshi,ili bidi wale polisi wamuangukie kwa kumuomba radhi!!

Alikubari kuombwa radhi!
 
Swali unatoka wapi halina msingi wowote, hawa polisi wetu wanahitji shule kubwa sana. Kila mmoja ana lake. Swali la msingi labda kumuuliza kwake wapi ili kama walikuwa na shaka wataguatilia maadamu waneona vitambulisho vyangu vyote. Je kama mie ni "koplo" na tuna makubaliano ya "two in one"!
 
Maana hapo ndo itakuwa mwisho wa maisha yake
Inawekwa road block itakuwa wewe kuulizwa unatoka wapi??????!!!!!
Sasa ubaya uko wapi kujibu? ??!!!!
Usiku saa sita umekutana na wanausalama wanataka kujua utokako na pia wangekuuliza mpaka uendapo bado hamna shida mbona????!!!
Mkilindwa taabu mkiachiwa watu wawakabe mnalalama polisi hawafanyi kazi!!!!!!

Hao jamaa ni wastaarabu umekutana nao wewe ilikuwa ni wa kuzunguka na wewe mpaka doria iishe ili ujue atleast kuwa kazi ya mtu inatakiwa heshima!!!!!
Mbona nyumba za wageni zitumikazo na wenyeji mnajaza mpaka adress???!!!!!
Ukilaza gari sehemu ya maegesho unajaza mpaka namba ya simu???!!!!

Siku nyingine wakikuuliza waaambie "natoka kwa mama zenu" hawatokuuliza tena maishani mwako!!!!
 
Ni vizuri kuwajibu maswali yote wanayokuuliza, kazi yao ni ya kujitolea zaidi tuwaheshimu kwa kujituma ingawa baadhi yao ni weupe sana kiakili ndiyo maana wana maswali ya chekechea wakati mwingine.
 
Mkuu hapo umenikumbusha miaka ya 2005 pale kwa azizi aly kuna jamaa alikuwa anaitwa Mamba!siku moja alikamatwa na polisi mida ya saa 8 usiku wakamuuliza unaitwa nani akasema naitwa MAMBA unakaa wapi akasema Mtoni alipigwa nusu ya kufa eti amewadharau kumbe ni kweli anaishi mtoni mtongani!!!wakampeleka hadi kituo cha polisi kilwa road kesho asubuhi ndugu zake wakapata taarifa na bahati nzuri alikuwa na jamaa yake ni mkubwa serikalini palikuwa hapatoshi,ili bidi wale polisi wamuangukie kwa kumuomba radhi!!

Teh teh teeh... Nimecheka hadi basi!
Unaitwa nani? : Mamba
Unaishi wapi? : Mtoni!
 
Kwa jinsi nijuavyo mimi nchi hii hakuna zuio la watu kutembea usiku.
 
Back
Top Bottom