Kwani lazima kutumia English!?

Kwani lazima kutumia English!?

Umeni Umenikesha sikutegemea kabisa maana kunademu kanipiga kibutiangalau nimeondoa stress
 
True. Na asiye mwoga hujifunza haraka.
Kabisa, uoga unaweka pembeni unakikandamiza tu, kukosea ndio kujifunza, ukiona kakosea unamrekebisha. Mie na mabrokeni yangu RRONDO ananisaidiaga sana kunirekebisha.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom