Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"
Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu!
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month...
...Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe.
...Mimi niliwahi kumegewa mai waifu na rafiki yangu
...ila uwezi amini mshikaji mpaka leo ni best yangu sana....
Kwani we Libidozy ni Mungu? Acha kabisa maneno hayo huna mamlaka ya kuhukumu ni Mungu peke yake. Yaani mwenzio ameangukiwa na kipande cha mti sasa halafu wewe ndio unamwangushia gogo zima. Tumpe ushauri mzuri jamaa yetu.Jiandae kwenda motoni shetani mkubwa we!Bwana Yesu amesema'kila afanyae dhambi huku anacheka ajue ataingia motoni huku analia'.Yaani jitu kubwa zima hata haya huna,eti unamnanii shemeji yako wewe hata kuachiwa dada zako itakuwa taabu.Tubu sasa hivi na nenda kamwombe radhi huyo rafiki yako la sivyo tarajia mabaya zaidi juu yako,mwasherati wee mwanahizaya wee.
Hivi akili za wanawake zikoje? Yaani mke naye anakubali kuisaliti ndoa yake hivi hivi? Nionavyo mimi mke ndio mwenye makosa makubwa kwa kukubali kula ndizi isiyo yake. We unajua kabisa kuwa sumaku inavuta vyuma, wewe mke ukiwa kama chuma halafu unasogea karibu na sumaku hivi unafikiri sumaku inachagua vyuma vya kuvuta.Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.
Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee
BA,
Acha kabisa yaani anayekufisadi yuko karibu yako siku zote....Mimi niliwahi kumegewa mai waifu na rafiki yangu ambae tulisaidia kwa shida na raha,mwisho nae akaja kutaka kuona ni raha gani naipata kwa mai wangu....ila uwezi amini mshikaji mpaka leo ni best yangu sana japo sio kama mwanzo....Natamani ni mkate kichwa huyu jamaa mwenye hii thread
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"
Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.
Naogopa kuoa!
Huna haya wewe, wala huoni vibaya! Hadi kulala na mke wa rafiki yako ulikosa msichana? Kweli wewe ni mnafiki kwa rafiki yako.
Mods pls mnaweza kumfungia huyu member....hii tabia ni mbaya na wa kulaaniwa kwa jamii nzima...
punguza munkari, demu kajipeleka mwenyewe, kata funua tu!Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.
Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee
sema shem,This woman is MAD!how could she be this much wicked?
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"
Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.
Naogopa kuoa!
Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.
Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee
Duh aisee unamega wife wa jamaa ako dah ndo maana mimi kuoa sitaki kama wanawake ndo mlivyo unachanganya hadi rafiki yangu mmmmh!
nyamayao unajua hapa kuna mambo mengi yanachangia ila nadhani lawama zinafaa ziende pande zote mbili. Ingawa kiini cha yote hayo ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye mwenye uwezo na kauli ya mwisho ya kusema YES au NO ili uovu huo utendeke. Kuna vitu vingi vinachangia but mimi ninaona hivi (na ninakubali kukosolewa!)
-1.
Ni kweli kabisa kuna wengine wanazidisha mno manjonjo, wengine hata kwenye daladala utakuta abiria wamekaa kimya kwenye daladala wakisikiliza ama kuangalia manjonjo yao bila aibu utadhani wako nyumbani.nyamayao unajua hapa kuna mambo mengi yanachangia ila nadhani lawama zinafaa ziende pande zote mbili. Ingawa kiini cha yote hayo ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye mwenye uwezo na kauli ya mwisho ya kusema YES au NO ili uovu huo utendeke. Kuna vitu vingi vinachangia but mimi ninaona hivi (na ninakubali kukosolewa!)
-1.Mwanamke unapokuwa na mwenzi wako hasa mbele ya marafikize tupunguze manjonjo jamani utamkuta mtu yuko na hawa shemejize na mpenziwe basi mara kaingiza ulimi sikioni mara kamtafuna ulimi yaani ili mradi atoe picha kuwa mpenzi wake anafaidi sana. Sasa hivi vinaweza kuwatia marafiki shetani wa wao pia kutamani kuenziwa kama vile japo mara moja ?
Najaribu kuona jinsi gani watu wasivyokuwa realistic. Mi iosni sababu kwa nini watu wasimpongeze huyu jamaa kwa kuwa mkweli. [/QOUTE]
Hebu kwanza taratibu Makanyaga ndugu yangu, mbona umeandika kwa hasira utadhani umekorofishwa na Mgongoo!! (Joke) HAPANA mimi ninakupinga katika kumpongeza huyu mleta mada. Kufanya hivyo ni kama kumpongeza fisadi wa pesa ya EPA aliyekiri kuwa ni kweli kazisunda wakati alikuwa anajua kuwa kufanya hivyo ni kosa. Hapa kinachoangaliwa ni kosa la kummega mke wa rafikiye yeye ni mtu mzima na anautashi wa kujua baya na zuri alijua fika yule ni mke wa rafikiye kwa nini hakuzuia?
Ingawaje mimi sijamsema yeye but hata yeye anayo makosa na hastahili kupongezwa!.
Watu wote waliochangia kwenye thread hii wakipata fursa ya kuweza kufanya km huyu jamaa alivyofanya, wanafanya, laknini ushangae michango yao ni tofauti kabisa na mawazo yao ya kila siku kichwani. MAN'S (BINADAMU) REAL CHARACTER IS WHAT HE WOULD DO IF HE KNEW HE/SHE WOULD'NT BE FOUND! R u all contributors sure, under same conditions and circumstances, could not do the same? [/QOUTE]
Ndugu yangu hapa naona unaleta mambo ya samaki mmoja akioza ni wote. Ndugu wapo ambao wana maadili yao na wamelelewa na ambao life experiences zimewafunza vya kutosha they can resist these stupid temptations. Not all human beings have rotten minds kaka/dada.
Tunapanga ktu maksudi kilicholenga kutoa loop holes za uharibfu mkubwa hapo baadaye, provided planner atafaidika. Huyu jamaa aliyemega siyo tu kwamba vile mwanamke alikuwa anataka, hata yeye pia ilikuwa kichwani kwake, ila the way alivyoi-present hapa anataka tumwelewe kuwa eti kuwa yeye kabisaaaa hakuwa na nia hiyo, VERY STUPID!
Nakubaliana na wewe hapa kwa huyu mleta mada.
Tukubaliane ukweli kuwa WATU WOTE WANAMEGA/WANAMEGWA, WATAENDELEA KUMEGA/KUMEGWA. ukpata chance ya kumega/kumegwa km uko willing then do it, bcause that is the way life it is! Haya maneno mengne ni theory au siasa. If I'm wrong, naomba mtu ani-attack km ni mkweli halafu nitarudi!
Sasa Makanyaga mbona unajikontradikiti wewe mwenyewe unasema watu wote wanamegwa/mega then unasema mambo ya kuwa willing unataka kusema hakuna wale wasio willing?
Mods pls mnaweza kumfungia huyu member....hii tabia ni mbaya na wa kulaaniwa kwa jamii nzima...