Eeeeehh maisha magumu hata hayo tunayasahau
Kwa imani hii, wake na waume za watu hawapo salamaNa ukitaka inoge zaidi jifanye unakula cha wizi halafu cha fasta
yeah very very true unajitune tu mwenyewe na vyovyote iwavyo lazima maisha yasonge na furaha pia iwepoMaisha kuwa magumu au marahisi ni dhana iliyopo kichwani mwako, yenyewe yapo vilevile tu.
By the way, kuna siku yatakuja kuwa marahisi..??
Leo mama watoto namuingiza chini uvungu wa kitanda.
Mtafaidi!!!!!! Ukimaliza nisimulie mkuu nami niipige hiyo. ntabadili kitanda. kumbe vitanda vyenye uvungu vinafaa???
njoo pale nanilii nikugee mwekundu mbili!!Fanya mwekundu bac..!
DOKTA Mshana, hulali wewe?[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115]hii mada nani kaifufua?