daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
sasa boredom ina uhusiano gani na stress na uchovu? huko kuuliza kuhusu miaka ya ndoa ni kunipa fikra kuwa unapokaa muda mrefu na mwanamke ndo stress zinaongezeka na uchovu wa kazi ama?Ndugu uko kwenye ndoa kwa muda gani au unazungumzia mahusiano ya boyfriend na girlfriend
ninachoamini ni kwamba ukiona hivyo vitu kama stress na uchovu vina nafasi ni wazi kuwa graph ya kumuona mwenzio kama jinsia inayofanana na yako inazidi kupanda meaning ya upendo imeshuka which is another thing now!