makoye78
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 672
- 229
Hahahahahaaaa... hapo bado wa Kassambya na Kyaka hawajafika! Nunshenkyaaa.....!.......jikoni kwenye hizi nyumba zetu za kiswahili?wamejazana ndugu hadi majirani wa kijijini kashozi?
Hahahahahaaaa... hapo bado wa Kassambya na Kyaka hawajafika! Nunshenkyaaa.....!.......jikoni kwenye hizi nyumba zetu za kiswahili?wamejazana ndugu hadi majirani wa kijijini kashozi?
Duh hadi vichakani?
.......jikoni kwenye hizi nyumba zetu za kiswahili?
wamejazana ndugu hadi majirani wa kijijini kashozi?
Duuuuu juu ya simtank??? Usiku au mchana??
si busara kupiga show wakati ukiwa out of mood au umechoka na ukiwa na stress kwa kuwa hii itapunguza performance yako kwenye game na hivyo kupunguza mvuto wako kwa mwenzi wako. Si lazima kila siku upige show unaweza ukalimbikiza siku mbili au tau then ukapiga kazi ya maana ambayo itasuuza mioyo yenu. Ni ushauri tuu ........ila kubadili location tuko pamoja mzee
We muda wote kudunguana tu yeeee
Tatizo watu wanaspirichoraisi tendo la ndoa... Si umewahi kusikia matrimonio bedi..??? Ushawahi sikia matrimonio sinki..?? Au matrimonio kochi..??? Shida ipo hapo. Kuna mambo wengine wanaona ni dhambi kufanywa katika ndoa...... Hasa wanawake... Hii dhambi, ile dhambi tusirudie etc etc....Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani
Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy
Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini siku mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu siku nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?
Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
We muda wote kudunguana tu yeeee
kwa hiyomuda wote kukaa tu kama upo na kaka yako no sawa..??