Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Sababu za msingi??!!
Kama hamna mtafutie kabisa msaidizi wako.
Za unga ltd?
Sababu za msingi??!!
Kama hamna mtafutie kabisa msaidizi wako.
somo ukitaka kumquote mtu
nenda chini ya ile post ya huyo mtu kwa chini kuna options 3 kuna ya reply na reply
wit a quote na multiple quote click hiyoo reply with a quote ya basi utaweza kuwa umemquote
unaandika uyatakayo then unapost..i hope ntakuwa nimekusaidia kwa namuna fulan
ha ha haa huo mwezi atamtafuta mwenyewe kabla haujaisha
mi sijakusoma wala nini
but kama ni ya kuenda kujificha mahali mnagegedena bila bugudha.. fresh tu. hiyo inakuwa min honey moon.