Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
...
nilielewa hivi hamna kugegedana mwezi mzima(likizo ya kutokugegedana)
...
Mmwe! Likizo hiyo waitaka weye??
...
nilielewa hivi hamna kugegedana mwezi mzima(likizo ya kutokugegedana)
...
mmwe! Likizo hiyo waitaka weye??
wewe sema unataka kuvunja ndoa za watu tu hamna kingine!! mwez mzima no tukuyu?! thread nyingine banah!! be aware!!
sasa sijui nifanyeje maana sijisikii natamani likizo nafasi kidogo
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja
unamaanisha usigegedwe ndani ya mwezi mmoja?
siitaki na sintokaa niitake...
Wewe je!!!!!!!!!!!!
mkanganyiko gani sasa tena