kwani kuna ubaya gani

kwani kuna ubaya gani

Hivi ni vituko wewe unataka ama kuvunja ndoa ama unataka kupatiwa mkemwenza maana inaonesha unashindwa majukumu yako sasa.

Duh pole sana, ama mzee anakuzidi uwezo maana huwenda msuguano umekuwa mkali sana na katika andiko lako unashindwa kulisema hilo. Kama hakuna kuzidiwa basi usikaribishe majaribu, utakuta watu wamepiga kambi na kuondoka hawataki tena nawe hutoweza kuwatoa kirahisi maana kwa namna moja umewakaribisha mwenyewe. Watu wadada wenyewe siku hizi wanavyowapenda waume za watu, sijui kama huyo wako atapona na ndo ukute na pesa ya kubadili mboga ipo duh refer Zahra White, kuna mtu anafanya mchezo huku.
 
Last edited by a moderator:
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja

ukiangalia kwa umakini ni kwamba unataka kumjua anayekuibia mwenzio coz mwezi duuh!!!!!
 
mi sijakusoma wala nini

but kama ni ya kuenda kujificha mahali mnagegedena bila bugudha.. fresh tu. hiyo inakuwa min honey moon.
 
Melisa ukimnyima unyumba mume wako unastahili kushitakiwa mahakamani. A whole month???? damn girl...that's cold.

Commanche we mkali basi jamani mmnigombeza sana nimesitisha sasa likizo gemu linaendelea maana lol nilidhani nitaambiwa ni vizuri kupumzika ili kila mmoja ammiss mwenzio lol
 
Heheheh...kama mwili umechoka basi uwe unakitegesha tu kifanyio...

kwani mi ni mchaga kwamba fanya ukimaliza funika.....kutegesha ndo zoezi gumu sasa mwenzako ataona kama vile umemchoka maana anaweza kugundua huna interest
 
lengo la mada yako ni nini hasa!!!!
mbona kama umekurupuka usingizini nawa kwanza maji usoni...!!!!

Gody mie nilikua macho kabisa wala sijatoka usingizini haya ni maamuzi yaliyonijia kichwani sijui kama wewe ni mwanandoa ila sometimes mtu unakuwa umeboreka kutokana na changamoto mbalimbali za maisha na isitoshe maudhi sometimes yanaondoa hisia kabisa ni ile mtu anakuudhiiiiiiiiiiii hlf no discussion hlf the same day baada ya hayo unategemea nini nitakua na hisia kweli lkn yeye haoni tatizo wewe unapokua down down down yeye ndo anataka sasa
 
somo ukitaka kumquote mtu

nenda chini ya ile post ya huyo mtu kwa chini kuna options 3 kuna ya reply na reply

wit a quote na multiple quote click hiyoo reply with a quote ya basi utaweza kuwa umemquote

unaandika uyatakayo then unapost..i hope ntakuwa nimekusaidia kwa namuna fulan

thankx honey nimekupata
 
kwani mi ni mchaga kwamba fanya ukimaliza funika.....

Acha kuwasingizia Wachaga banaaa....mbona mi nimeoa mchaga na anacheza segere kuanzia Mbagala hadi Tegeta...

kutegesha ndo zoezi gumu sasa mwenzako ataona kama vile umemchoka maana anaweza kugundua huna interest

Fanya mazoezi ya viungo ili kuuweka mwili wako active...binafsi naona ukosefu wa mazoezi na kujibweteka ni moja ya sababu zinazokufanya uwe goigoi
 
wanawake mna likizo kibao za kugegedwa.....hiyo mwezi mzima sio fea...
 
kwani mi ni mchaga kwamba fanya ukimaliza funika.....kutegesha ndo zoezi gumu sasa mwenzako ataona kama vile umemchoka maana anaweza kugundua huna interest
Hivi WACHAGA ndio wako namna ya bold?????....Usilolijua kama usiku wa kiza.
 
Hebu jaribu kufanya hivyo then uje utuambie nini kimetokea!
 
Back
Top Bottom