The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,663
- 2,293
Ok , mbona wazungu upeleka wazazi wao care centers Kwa ajili ya kutunzwa wakiwa watu wazima ?Sio kwa binadamu tu,hata kwa wanyama pia
Ok , mbona wazungu upeleka wazazi wao care centers Kwa ajili ya kutunzwa wakiwa watu wazima ?Sio kwa binadamu tu,hata kwa wanyama pia
kwa mazingira hayo pesa lazima ifanye kazi kuajiri kibarua tofauti na hapo hutopata huduma staikiThanks God kawaita wengine wawe madaktari na manesi
Hutoa huduma nzuri nyakati hizo
Tumewaona wengi wenye watoto lukuki siku wakiumwa wako alone na wanataabika tu
So issue sio kuzaa
Ila umejiaandaaje kwa social capital?
Sent using Jamii Forums mobile app
Charrote ... maumivu ya wengi ni matokeo ya pressure ya jamii na sio issue yenyewe ya kukosa mtoto.Suala la mtoto sio dogo kama unavyolikchukulia, mtu ambaye umri unaenda hajapata mtoto nafsi yake inaumia sana .Binafsi nimewahi kuwa karibu na watu wengi wanaotafuta watoto katika clinic fulani, kwenye hii inshu pesa si kitu maumivu si kitu .Wanawake wasio na watoto wanapitia nyakat ngumu sana.
Naomba nikushauri wewe binti ambaye umepata mimba hata kama ni nje ya matarajio yako usithubutu kutoa ya kesho huyajui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini utengwe?Inafaida kubwa sana hasa utakapotengwa na marafiki zako
Hiyo haiwezi kufuta umuhimu wa kuwa na mtoto;mfano Bush akisimama na baba yake(kabla ya kufariki) taswira gani inakuja kichwani mwako.Ok , mbona wazungu upeleka wazazi wao care centers Kwa ajili ya kutunzwa wakiwa watu wazima ?
Sinto kaa nifuate vyenye jamii inataka niishi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]...inabidi ufate matakwa ya jamii la sivyo ukienda against utaonekana kichaaa, shauri yako best!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana pia jamii ikawa inachangia lakini hili suala usilichukulie kizembe .Mfano mzuri ni kwa Millen Magese she has got every thing,beauty,fame ,money and so lakini anakiri kabisa hili suala lilimtesa.Charrote ... maumivu ya wengi ni matokeo ya pressure ya jamii na sio issue yenyewe ya kukosa mtoto.
Manyag'au mengi ndo yanawatesa waja wa Mungu bure
Ukipata shukuru
Usipopata songa mbele and enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa asili ya mwanadamu hakuna rafiki wa kudumu anaweza kukugeuka mda wowote akawa aduiKwa nini utengwe?
Unapoishi tengeneza social capital
Wakikuchukia hawa...wale wakukaribishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dada Ali obey pressure ya wanajamii tu.Yawezekana pia jamii ikawa inachangia lakini hili suala usilichukulie kizembe .Mfano mzuri ni kwa Millen Magese she has got every thing,beauty,fame ,money and so lakini anakiri kabisa hili suala lilimtesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko negative na maisha sanaKwa asili ya mwanadamu hakuna rafiki wa kudumu anaweza kukugeuka mda wowote akawa adui
Tunaishi na jamii ya watu,na tunajifunza kwa wazee waliotutanguliaMkuu uko negative na maisha sana
Jipe sababu miliaoni za kuwa na uzee mwema wenye furaha na amani
Acha kujihami sana na maisha
Utaishi kwa hofu na uzuni daima
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana at a ukifa umeeacha alama???Mtoto ni mdala wako,yaani badala ya wewe basi ni mwanao,mwanao ni wewe yaani ndiyo uwewe wako.
Kama huna mtoto maana yake huna mbadala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani kikubwa ni kuwa na mali tu, hata watoto wa jirani yako watahamia kwako
Sent using Jamii Forums mobile app