Kwani kukosa mtoto ni dhambi?

Kwani kukosa mtoto ni dhambi?

Ndugu kama una mtoto..we nyamaza mshukuru mungu...maana kuna wenzako wamekunywa dawa za kienyeji mpaka basi wamezunguka hospital amna kitu mwisho wa siku. Wamekaa tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu kama una mtoto..we nyamaza mshukuru mungu...maana kuna wenzako wamekunywa dawa za kienyeji mpaka basi wamezunguka hospital amna kitu mwisho wa siku. Wamekaa tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli inaumiza,hata wao wanaelewa lakini hakuna njia inabidi kulea watoto wa ndugu tu.
 
Hapa ndipo ninapo baki na ule usemi wa kwamba wanadamu tunashindwa kuendelea ama kufanya yetu, eti kwa kuogopa watu wanao tuzunguka watasema nini...!! ....tehteehh
Natamani sana siku moja nione watu wakibadilika na waishi kama mimi...
FB_IMG_1552328581505.jpg
 
Kwa Jamii zetu za kiafrika ni dhambi tena kubwa sana utasema wao wanaahadi na Mungu

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Hiyo ni hatari,ukiwa hoi hujitambui labda umelazwa unajisaidia hapo hapo,unaweza usione mtu.
Thanks God kawaita wengine wawe madaktari na manesi

Hutoa huduma nzuri nyakati hizo

Tumewaona wengi wenye watoto lukuki siku wakiumwa wako alone na wanataabika tu

So issue sio kuzaa

Ila umejiaandaaje kwa social capital?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo ninapo baki na ule usemi wa kwamba wanadamu tunashindwa kuendelea ama kufanya yetu, eti kwa kuogopa watu wanao tuzunguka watasema nini...!! ....tehteehh
Natamani sana siku moja nione watu wakinadilika na waishi kama mimi...
View attachment 1047702
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]...inabidi ufate matakwa ya jamii la sivyo ukienda against utaonekana kichaaa, shauri yako best!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la mtoto sio dogo kama unavyolikchukulia, mtu ambaye umri unaenda hajapata mtoto nafsi yake inaumia sana .Binafsi nimewahi kuwa karibu na watu wengi wanaotafuta watoto katika clinic fulani, kwenye hii inshu pesa si kitu maumivu si kitu .Wanawake wasio na watoto wanapitia nyakat ngumu sana.

Naomba nikushauri wewe binti ambaye umepata mimba hata kama ni nje ya matarajio yako usithubutu kutoa ya kesho huyajui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom