kwani kuiba ni dhambi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwani kuiba ni dhambi??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mpigilie, Oct 28, 2011.

 1. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana jf,

  Hivi nikifanikiwa kuwaibia mafisadi mihela yote waliyowaibia watanzania,halafu nikairudisha hiyo mihela kwa watanzania nitakua nimetenda dhambi kweli?
   
 2. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiiba wewe ni mwizi, no matter unamwibia nani na unaiba nini. Tumia njia halali kurudisha lakini ukiiba utatenda dhambi.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Wizi ni wizi tu.
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Iba uje nazokwangu,nikupeleke kwa watanzania uzirudishe! Hutokua na dhambi
   
 5. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  MMMH!!kweliii itakuwa dhambiii...muizi wa kuku na muizi wa bilioni 5 ni sawaa?dogo alie ibaa kalamu ya mwenzie na kijana alie uwaa na kuibaa malii ni sawa?
   
 6. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  unataka kuiba au unataka kuchukua...kama unazichukua wewe zichukue uwarudishie wananchi....ila kama ni kuiba hapana maana mafisadi watakuwa hawajui kama hela zimerudi kwa wananchi
   
 7. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  maswli mengine bana yanakera
   
Loading...